Kiitikio au chorus ipi ya Juma Nature uliipenda sana?

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,635
29,967
Wanaburudani habari zenu,
Mziki wetu kuna vionjo fulan vya zaman vinakosekana,
Hasa kwenye kiitikio ungemkuta dully Sykes, nature au q chief
Hebu tuanze na juma nature,
1. Radhia
2. Mzee wa busara
3. Ya Leo Kali
4. Ofisi miguu . manzese crue
5. Mamy
6. Narudi kijijini
7. Demu simwelewi
8. Niaje hatupatani
9. Inaniuma sana
10.kamua
11. Zari la mentali
12. Dance with me
13. Sonia
14. Akwelina
15. Aa wapi by nature
Je ni kiitikio gan alikaa sawa, hebu tupia hapa ngoma moja ya nature kibra msitu wa vina

PLEASE UPLOAD MUSIC AMBAO CHORUS ULIIPENDA HAPA
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom