Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,877
- 2,758
Crap!
Unaweza kunyea kambi wewe? Usilaumu tu ndugu. Hata Salva akitoka ikulu usishangae akaigeukawhat makes it being crap?
Unataka mpaka CDM wakisema ndio manakubali?
tunapingana kwa hoja sio chuki binafisi zisizoweza kujenga nchi yetu
1.Ukifuata mambo ya wanasiasa wakati mwingine Nchi inaweza isifike Mbali.
2.Huyu dogo alikuwa karibu na Rais wakati madudu yote yanatokea ,Je alichukua hatua gani ya kukemea wakati yeye yupo pale State house...alimshauri nini Rais
3.Hili suala kama anaona lina umuhimu sana na yeye haogopi mtu alipeleke bungeni..
4.Haya mbiyo za 2015