MAMMAMIA
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 3,811
- 1,603
Tayari TANMO ameijibu hapo chini.hio ya did you saw mbona iko correct?,au na mie nikapige msasa chiinglish changu?lol
siyo sahihi Neema, sahihi ni did + present tense (do, go, see, talk, say. etc)
Cantalisia, Kiingereza utata mtupu. Haya mambo ya regular na irregular verbs sijui wameyapata wapi.Kingilish ni noma aisee,hakuna wakati kilinitesa km wakati wa presenatation pale chuo ukichanganya na ile hofu mara nyingi nilikua nachanganya tenses mgogoro ulikua kwenye matumiz ya did,do na done!
Kwa nini iwe walk - walking - walked na isiwe do - doing - doed (hahaha).
Kuna siku zamani nilibandika uzi juu ya UCHIZI WA LUGHA YA KIINGEREZA
Bado huwa ninashangazwa na matumizi ya owe, na huko nyuma nilikuwa ninapata tabu, hivi sasa ninaitumia sahihi kwa sababu tu wenyewe wanataka iwe hivyo.
Katika hali ya kawaida,
She loves me = Ananipenda, lakini
She owes me = Ninamdai
Kweli Kizungu kizunguzungu