kiingereza noma!..kama huamini sikia hii..

jullieth

Member
Sep 30, 2012
27
4
Bwana weeee kiingereza muda mwingine ni muhimu, japo cha kuombea maji. Jamaa mmoja alikwenda kwenye hotel ya kifahari, watu wote pale hotelini waliongea kiingereza, basi jamaa alipokuwa chumbani alimwona panya, hivyo akaamua kupiga simu mapokezi huku akiwaza panya kwa kizungu anaitwaje. Maongezi yalikuwa hivi; mhudumu: thank u for calling reception, can i help u? jamaa: Do u know Tom and Jerry: mhudumu: yes, i know jamaa: please help me coz Jerry is here.
 
Back
Top Bottom