Kiingereza jamani!!

Huyu jamaa inaelekea hakwenda shule kabisa na alipata bahati tu ya kuwa karibu na watu wanaozungumza,inafurahisha sana ila ujumbe umefika

Kwani kwenda shule ni kujifunza Kiingereza? Inawezekana jamaa kaenda shule na kichwani zimo, sema hajasoma kiingereza.
 
kiingeleza ni wito.

ze ze ze nyingii mate bakuli ukitoka hapo unakunywa panadol na usingizi juu.
 
Inaonyesha ni mchapakazi mzuri huyu jamaa! (kwa fani aliyoomba) Ila hiyo lugha ndo tatizo. Ningekuwa mimi ndo mwajiri ningempa kazi kwa majaribio. Hapo huruma mbele.
 
happy birthday for your exam=nakutakia mtihani mwema

Hii mbona safi tuu. Ona hii ya dereva wa offisini kwetu alipomchenchia boss wetu hapa juzi kati..........

"I told you, I told you. You can't me! Me I am another! You are just finding me because eh. Now it will it on your side". Mzungu wa watu hakuambulia kitu.
 
Ni vigumu kufanya tafasiri ya moja kwa moja ya lugha ya kigeni kwa kutumia lugha ya asili,kwel mzungu hawezi kumwelewa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom