Kiingereza jamani!!

Wakuu, hebu tupieni jicho faili iliyoambatanishwa kwenye post ya juu, muone jinsi kiingereza kinavyotupiga chenga.
 
dah hii nayo kali...imenichekesha mno.......!!lakini nilichokipenda etlist unamuelewa nini anasema,!!!
 
Du..hii ni noma jomba!
Ananiacha hoi pale anaposema ..I can speak English free of charge!...sielewi hasa anataka kumaanisha nini!
Halafu mwisho wa barua ya kuomba kazi anasema .."Greet your wife"..lolz!
 
Huyu jamaa inaelekea hakwenda shule kabisa na alipata bahati tu ya kuwa karibu na watu wanaozungumza,inafurahisha sana ila ujumbe umefika
 
Jamaa inaonekana hakwenda shule kabisa na kaungaunga kuielewa lugha,ila ujumbe umefika
 
Maneno magumu amayaandika kwa usahihi mfano
  • certificate
  • experience
  • criminal

Inakuwaje ashindwe kuandika neno rahisi kama ready?
 
Du..hii ni noma jomba!
Ananiacha hoi pale anaposema ..I can speak English free of charge!...sielewi hasa anataka kumaanisha nini!
Halafu mwisho wa barua ya kuomba kazi anasema .."Greet your wife"..lolz!
Hii haina tofauti na mchagga anapokwambia "nina watoto watatu cash!" Yani yeye kila digit kwake inawakilisha pesa!
 
Maneno magumu amayaandika kwa usahihi mfano
  • certificate
  • experience
  • criminal

Inakuwaje ashindwe kuandika neno rahisi kama ready?

Sababu hayo maneno magumu aliangalizia kwenye kamusi ila maneno rahisi ya kila siku alikua confident anayajua hivo sio lazima kucheki namna yanaandikwa.
 
''And rememba that English is not our mother LAND'' - how about that? tehe tehe tehe lol!
 
mbona kiingereza safi sana gramatically sound, sentence construction good, wewe ndio hujui kiingereza

Mimi ndiye wa mwanzo katika post hii kukubali kuwa Kiingereza kinatupiga chenga. Pengine kunipiga chenga kwangu kulinifanya nisigundue kuwa hiki ni Kiingereza safi sana. Asante sana, nitaendelea kujifunza Kiingereza
 
Nimecheka kisha nikajisikia vibaya. Cheti kimekaa tu chenyewe! translation yake noma!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom