Kihoro cha the walk of shame!!!!! Anaomba ushauri!!!!

haaaaaaaaaaaaaa yaani huyo anaona aibu wakati kapata utamu? anamuonea nani aibu.......? khaaa mwambie mwanamke konfidensi

Utamu chumbaniiii, ukitoka nje unakuta watu wanakutolea mijichoooo!!!! Na watu wanaoishi maeneo ya jirani na gesti kwa kukazia wanaotoka gesti mijichoooo kama mijusi iliyobanwa na mlango. Hapo kama sio kungwi unaweza kujikuta unajikanyaga mpaka unadondoka
 
Lol!! kuna wakati unajikuta umependa pembeni kiukweli lakini nikifikiria hiki kipengele ntatokaje huko na sikuwa na mtu wangu duhduhduh! i will remain innocent kwa kweli its true ni walk of shame nadhani mana mbona yaogopesha!! kabla hujawa na commitment unaogopa wazazi sijui! ukiwa nayo tayari whether bf au mume/ mke unaogopa cheating! fyuuu

Vya pembeni vitamuuu!
 
nawasalimu wakuuu!!!

Kuna mdada tunafanya nae kazi leo kaniomba ushauri, sasa sijui imekuaje ofisi nzima aniombe mie ushauri, au nimekubuhu sana mpaka usoni nimenza kuonesha nini? Mimi humu ofisini mgeni ndo kinanitatiza, huu mda mdogo alioniona keshaniona mrengo wa kushoto!!!?

Back to the topic, ushauri anaoomba ni kuwa yeye wakati wa the walk of shame anajistukia sana, kama kabeba puli za bangiii!!!?? Kwa msiojua the walk of shame ni ule wakati umetoka kuvunja amri ya sita na mtu gesti, au getto kwake, sasa ile asubuhi ndo unarudi kwako ule wakati unatoka gesti mkavumkavu, uso wa kibandidu kama uliyofanya huko yote mema, ule muda, mwendo unaotembea na mawazo unayowaza ndo walk of shame yenyewe hiyo! Tena kama ndo umelala hukohuko ukaungia kazini ndo balaaa!

Bi dada akiwa kwenye walk of shame roho inamtokaaa!!, anajistukia huyo!, akipigiwa simu hapokei, anajua labda mpigaji kamuona anatoka gesti!? Basi hii hali inawekera kweli wapenzi wake, mpaka wanamhisi ana mtu mwengine hivo hicho chote kihoro cha kufumaniwa! Afu walaa hata sio muhuni! Hii imesababisha relation zake zisidumu. Hata wewe ungekuwa bwana wake, mmetoka gest, mtu anajikunyata, haachi kuangaza angaza pembeni, nyuma na mbele afu alikwambia yupo single ungepata picha gani?

Tena hana gari, basi the walk of shame kwake inakuwa ndefuuu usipime!, umbali wa gesti zilizojificha mpaka kituo cha basi si mchezo atiii?!? Anakondaje!!!.

Mie nikamwambia nipe mda ntakutatulia!!, ila ukweli mimi binafsi nilipofikia i got no shame left at all!!! I have walked the walk of shame mara nyingi, kwa mda mrefu sana na watu wengi sana kiasi hata dhamira imekufa! Nadundika tu toka gesti mpaka kazini nikipiga mluzi wangu freshhh! Sasa sikutaka kumpa ushauri coz kichwa changu nakijua mwenyewe na sikutaka tu ajue huu ukweli, manake atanishushia hadhi ofisini buree!

Sasa nyie maexpart mnao walk the walk of shame kutoka lodge mpaka kwa wife, tena unacheza na wanao kidogo sebuleni, na janaba lako ulilopunguza na shower za lodge, afu unatinga matrimonial room unamwambia wife umemmiso siku nzima!!! Nini siri ya ubandidu wenu?????????? Nipeni jibu nikashauri huko, furaha ya mtu iko at stake!!! Wkt wa game mawazo yote yapo kwenye the walk of shame!!!

na akiwa anaingia gesti inaitwa katiwoki au?ushauri:appointment zake awe anafanyia mbezi rest lodge huko ni porini hamna they so called ''walk of shame'',ni misitu tu uko
 
Na mimi pia sijawahi kuisikia........Unaonaje tukijikusanya tukachanga halafu tumwite mleta trhead atupige darasa misamiati ya ki-sexy sexy..............Mjini hapa unaweza kuonekana mshamba bure!!!

Aaaaah Jamaniii!!! Ndo mmeisikia leo hilo, mmeongezea msamiati, mkiona mtu anatoka gesti mnawaza yulee yupo kwenye THE WALK OF SHAME!!!
 
na akiwa anaingia gesti inaitwa katiwoki au?ushauri:appointment zake awe anafanyia mbezi rest lodge huko ni porini hamna they so called ''walk of shame'',ni misitu tu uko

Kumbeeeeee, embu nitakutafuta kuna Mbunge anajileta kwenye radar huko safiiii, shigongo hawezi kutudaka!!! LOL! Akikizi vigezo na masharti nikampunguze stress za bajeti!!!
 
Utamu chumbaniiii, ukitoka nje unakuta watu wanakutolea mijichoooo!!!! Na watu wanaoishi maeneo ya jirani na gesti kwa kukazia wanaotoka gesti mijichoooo kama mijusi iliyobanwa na mlango. Hapo kama sio kungwi unaweza kujikuta unajikanyaga mpaka unadondoka

mwambie watu wakimtolea mijicho na yeye awazizame na atembee kixhwa juu kwa raha zake..... Yeye kapata utamu wao wameishia kukodoa macho.....
 
Nawasalimu Wakuuu!!!

Kuna mdada tunafanya nae kazi leo kaniomba ushauri, sasa sijui imekuaje ofisi nzima aniombe mie ushauri, au nimekubuhu sana mpaka usoni nimenza kuonesha nini? Mimi humu ofisini mgeni ndo kinanitatiza, huu mda mdogo alioniona keshaniona mrengo wa kushoto!!!?

Back to the topic, ushauri anaoomba ni kuwa yeye wakati wa THE WALK OF SHAME anajistukia sana, kama kabeba puli za bangiii!!!?? Kwa msiojua the walk of shame ni ule wakati umetoka kuvunja amri ya sita na mtu gesti, au getto kwake, sasa ile asubuhi ndo unarudi kwako ule wakati unatoka gesti mkavumkavu, uso wa kibandidu kama uliyofanya huko yote mema, ule muda, mwendo unaotembea na mawazo unayowaza ndo walk of shame yenyewe hiyo! Tena kama ndo umelala hukohuko ukaungia kazini ndo balaaa!

Bi dada akiwa kwenye walk of shame roho inamtokaaa!!, anajistukia huyo!, akipigiwa simu hapokei, anajua labda mpigaji kamuona anatoka gesti!? Basi hii hali inawekera kweli wapenzi wake, mpaka wanamhisi ana mtu mwengine hivo hicho chote kihoro cha kufumaniwa! Afu walaa hata sio muhuni! Hii imesababisha relation zake zisidumu. Hata wewe ungekuwa bwana wake, mmetoka gest, mtu anajikunyata, haachi kuangaza angaza pembeni, nyuma na mbele afu alikwambia yupo single ungepata picha gani?

Tena hana gari, basi The walk of shame kwake inakuwa ndefuuu usipime!, umbali wa gesti zilizojificha mpaka kituo cha basi si mchezo atiii?!? anakondaje!!!.

Mie nikamwambia nipe mda ntakutatulia!!, Ila ukweli mimi binafsi nilipofikia I GOT NO SHAME LEFT AT ALL!!! I have walked the walk of shame mara nyingi, kwa mda mrefu sana na watu wengi sana kiasi hata dhamira imekufa! Nadundika tu toka gesti mpaka kazini nikipiga mluzi wangu freshhh! Sasa sikutaka kumpa ushauri coz kichwa changu nakijua mwenyewe na sikutaka tu ajue huu ukweli, manake atanishushia hadhi ofisini buree!

Sasa nyie maexpart mnao walk the walk of shame kutoka LODGE mpaka kwa WIFE, tena unacheza na wanao kidogo sebuleni, na janaba lako ulilopunguza na shower za lodge, afu unatinga matrimonial room unamwambia wife umemmiso siku nzima!!! nini siri ya ubandidu wenu?????????? Nipeni jibu nikashauri huko, furaha ya mtu iko at stake!!! Wkt wa game mawazo yote yapo kwenye The Walk of Shame!!!

mi hapo kwenye bold ndo unaponimalizaga lara!napenda mtu anayejikubali kiasi hiki!dah!
 
Bi dada akiwa kwenye walk of shame roho inamtokaaa!!, anajistukia huyo!, akipigiwa simu hapokei, anajua labda mpigaji kamuona anatoka gesti!? Basi hii hali inawekera kweli wapenzi wake, mpaka wanamhisi ana mtu mwengine hivo hicho chote kihoro cha kufumaniwa! Afu walaa hata sio muhuni! Hii imesababisha relation zake zisidumu. Hata wewe ungekuwa bwana wake, mmetoka gest, mtu anajikunyata, haachi kuangaza angaza pembeni, nyuma na mbele afu alikwambia yupo single ungepata picha gani?

Hizo red hapo zimenipa Brein Konkesheni...
 
Umeonaaaa! Inataka moyo wa chuma! Ukikutana na mtu anaekujua au mzazi wako njiani unaweza kuomba ardhi ipasuke uingie!!!!!!

ila ndio hivyo utamu ule unaweza potezea hiyo aibu...mbona huyu pamoja na aibu yake bado anaenda kumegwa.
 
mwanamke mahaba, kujiamini, makomfidensiiii.
mbona hakuona aibu wakati anasaula?
lara 1. erotica, mhh mada zenu lol
 
Hivi walk of shame ni nini maana yake? (niko serious, mjini hakuna mwenyeji)

Kwa msiojua the walk of shame ni ule wakati umetoka kuvunja amri ya sita na mtu gesti, au getto kwake, sasa ile asubuhi ndo unarudi kwako ule wakati unatoka gesti mkavumkavu, uso wa kibandidu kama uliyofanya huko yote mema, ule muda, mwendo unaotembea na mawazo unayowaza ndo walk of shame yenyewe hiyo! Tena kama ndo umelala hukohuko ukaungia kazini ndo balaaa!
 
aendelee kuhudumia vijana akizoea kama ww lara1 itaondoka tu

Mimi mwenyewe kinanipataga mda mwengine hasa nikienda gesti za huku kwetu kino clain manake kuna bwana wangu wa zamani kawa zungu la unga akiniona fujo zake lazima ffu wahusike. Zungu la unga limenipa uhuru wa kujivinjari na dunia nzima ila asinione, eti akiniona hata kama tumechana roho inamuuma!
 
Hahahahaha. . .

Mwambie awe anawapeleka kwake huko hakutakuwa na 'walk of shame', sana sana kutakuwa na 'look of shame'akiwa anamtoa jamaa yake asubuhi.

well said lizz,yeye si anaogopa walk of shame,sasa akumbane na look of shame kutoka kwa majirani.
 
Back
Top Bottom