Kihoja: bibi mchawi akamatwa machame(mfumoni)

Mkuu. Machame siku hizi ni zaidi ya Sumbawanga,
mwanzoni mwa mwaka huu kuna mama mmoja tena ambaye ni mkwe wa rafiki yangu alikamatwa na fuvu la binadamu ndani ya nyumba yake huko maeneo ya Kisereni..

kwa hiyo kilichokuwa kinahitajika ni fuvu tu ili kuizidi Sumbawanga.
 
Acheni 2 ndugu yangu ameshuhudia live bahati yake ni mwenyekiti wa kijiji aliyemfungia ndani ya kaduka na kuita polisi wananchi wangemuua,ndugu si mfumoni ni mfoni baada tu ya kutoka nshara,mimi cwezi sema afe ingawa ningefurahi sipendi watu wateseke ila kila binadamu ana dhambi lakini kwa rehema za Mungu tunaishi hvyo Mungu mwingi wa huruma na neema ambadilishe kutoka kwenye dhambi yake,
 
Yaani kama watu hatutamrudia Bwana Yesu tutateswa sana. Kuna Nesi mmoja nae katika jiji la Lusaka kakiri mwenyewe baada ya kubabwa kuwa ni miongoni mwa kundi la wachawi. Na idara yake anayofanyia kazi za kichawi ni katika kupoteza watoto wachanga pindi wanapozaliwa. Sasa fikiria kina mama wazito wanamwamini nesi kuwazalisha huku akiwa ni mkuu wa wachawi matokeo yake ni nini?
.

Madakitari/manesi wengi ni vigagula wa kutisha kwenye baadhi ya mahospitali, ukiingia kwenye mikono yao huchomoki ni lazima wakumalize.

 
kuna watu walofiwa na ndugu zao ktk ile ajali ya fuso la nyanya na coaster pale kibosho road.
Kwa nia njema waende moshi pale boma ng'ombe kituo cha polisi, wakaongee na huyo bibi. Huenda ndugu zao wapo hai wamewekwa kimazingira tu.
 
Haaahaaa! Hii kitu inaitwa ushirikina, watu wananufaika nayo nini? Mbona ni utumwa wenye kutufanya kuwa nyuma hata kimaendeleo? Watanzania kazi ipo!! Tunapoteza muda. hatuwezi kujenga jamii ya watu washirikina tukafika. Tutakosa maarifa.
 
Jamani nashangazwa sana na hili suala. Mbona ni mara chache sana kusikia vibabu vikikamatwa kwa kupaa, haswa ukizingatia kwamba vigagu wengi ni sisi wakinababa? Kila nikiangalia list ya wachawi waliochomwa moto kule kanda ya Magharibi, 90% ni wakina mama na vibibi, inakuwaje?

kwa sababu vibabu ndio viongozi na wakuu, kwa hiyo vinawatuma wabibi ndo wakafanye kazi, lol
mfumo dume hadi huko
 
Acheni 2 ndugu yangu ameshuhudia live bahati yake ni mwenyekiti wa kijiji aliyemfungia ndani ya kaduka na kuita polisi wananchi wangemuua,ndugu si mfumoni ni mfoni baada tu ya kutoka nshara,mimi cwezi sema afe ingawa ningefurahi sipendi watu wateseke ila kila binadamu ana dhambi lakini kwa rehema za Mungu tunaishi hvyo Mungu mwingi wa huruma na neema ambadilishe kutoka kwenye dhambi yake,

mkuu natumia simu ningekupa ka-like, chukua hata ya kimaandishi "'like".nukta
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom