Kigwangalla Ndani ya Kumekucha ya ITV kuanzia saa 12.30 asubuhi

HKigwangalla

JF-Expert Member
Feb 6, 2008
717
971
Kesho asubuhi kuanzia saa 12.30 nitakuwa kwenye Kipindi cha Kumekucha cha ITV nikizungumzia hoja zangu binafsi za mkakati wa kujenga nyumba na kuwauzia wafanyakazi kwa dhamana za michango waliyojiwekea kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii, na ile ya kukuza uchumi na kuongeza ajira kwa vijana wa makundi ya wasomi na wale ambao hawakupata fursa ya elimu.
 
safi mkuu ila mbona hakuna utekelezaji wa unayoimba? Hebu tujifunze vitendo zaidi mkuu!
 
Kesho asubuhi kuanzia saa 12.30 nitakuwa kwenye Kipindi cha Kumekucha cha ITV nikizungumzia hoja zangu binafsi za mkakati wa kujenga nyumba na kuwauzia wafanyakazi kwa dhamana za michango waliyojiwekea kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii, na ile ya kukuza uchumi na kuongeza ajira kwa vijana wa makundi ya wasomi na wale ambao hawakupata fursa ya elimu.

hk mawazo mazuri bt your in a wrong party magamba. Hzo ni dl za watu ambazo kamwe hawata kubali kubadilisha. Imagine
 
Kesho asubuhi kuanzia saa 12.30 nitakuwa kwenye Kipindi cha Kumekucha cha ITV nikizungumzia hoja zangu binafsi za mkakati wa kujenga nyumba na kuwauzia wafanyakazi kwa dhamana za michango waliyojiwekea kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii, na ile ya kukuza uchumi na kuongeza ajira kwa vijana wa makundi ya wasomi na wale ambao hawakupata fursa ya elimu.

Ajira zipo nyingi kama nyinyi wabunge mkiweka sheria ngumu za kuzuia Wageni kuajiriwa Tanzania.
 
Hizi unazoongelea mbona ni sera za CCM katika ilani na rais aliahidi, sasa uko wapi utekelezaji wa pamoja? Au kila mwana ccm aanze kupita katika media anatangaza lake mh?
 
msijidanganye! kigwa anafaa huko aliko! Mtu yeyote anayeweza kuwavumilia ccm na sera zao fahamuni na yeye ni part of the problem! Anyway go Nzega boy!
 
Back
Top Bottom