Kigwangalla, makamba, zitto, filikunjombe na wengine kama ninyi mwatia shaka

Oh, karibu sana JF jovitha mussa
user-offline.png

Junior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png



Mini Statistics

Join Date 2nd May 2012

Je, Mbuyu haukuanza kama mchicha ?
 
Jamani tusimponde na kumshushua mleta mada lakini tutafakari kwa kina hoja zake hata kama zina ukilaza fulani, binafsi hii ishu ya kuwanyonya madereva na makatibu nimewahi kulisikia kuna dereva mmoja alikuwa akinipa data ya jinsi wanavyonywa fedha zao na wabunge wetu lakini dreva huyo alikuwa yupo chini ya mbunge mmoja kutoka wilaya fulani ya Tabora,
lakini kuhusu Zitto hapo mleta thread atakuwa amemuonea labda alete ushaid kamili isipokuwa kwa jmakamba haka kajamaa mm naweza kuamini kile alichosema mleta thread pia na kigwangallah na gamba deo maana wabunge wa ccm hawahaminiki na ni wanafiki wakubwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom