Kigwangalla, makamba, zitto, filikunjombe na wengine kama ninyi mwatia shaka

jovitha mussa

Member
May 2, 2012
75
35
:Cry: Nachukia sana napowaona Bungeni mnapiga kelele KUPINGA HUJUMA NA UONEVU lakini ninyi ndio watu wa kwanza kushindwa KUAJIRI na KULIPA stahiki za watumishi wenu kama KATIBU na DEREVA. Wengi wenu mnajiendesha na kuweka mfukoni pesa za madereva, mnawalipa MAKATIBU NA MADEREVA PESA KIDUCHU. Watoto wao wakishindwa kwenda shule, kula inavyotakiwa kwanini msiitwe WASALITI??? lakini MTOTO wako unampeleka shule kwa pesa alizotakiwa apate mtumishi wako. Ndo uzalendo huo???? Mnatuangusha
 
Weka data sio kutaja majina tu na hoja ambayo yaweza kuwa kweli ila haina uthibitisho ......kama vipi mwaga hapa majina na data

Bdaaaaeee
 
:Cry: Nachukia sana napowaona Bungeni mnapiga kelele KUPINGA HUJUMA NA UONEVU lakini ninyi ndio wMatu wa kwanza kushindwa KUAJIRI na KULIPA stahiki za watumishi wenu kama KATIBU na DEREVA. Wengi wenu mnajiendesha na kuweka mfukoni pesa za madereva, mnawalipa MAKATIBU NA MADEREVA PESA KIDUCHU. Watoto wao wakishindwa kwenda shule, kula inavyotakiwa kwanini msiitwe WASALITI??? lakini MTOTO wako unampeleka shule kwa pesa alizotakiwa apate mtumishi wako. Ndo uzalendo huo???? Mnatuangusha
Bila ushahidi hapa utaonekana una chuki binafsi na mmbea,weka ushahidi hapa tuwabane
 
Kiukweli ni wanachama wa humu, sasa kama wanabisha wajitokeze wathibitishe kama wanawalipa stahili zao
 
@jovitha mussa ofisi niliyokuwa nimeajiriwa kabla sijajiarii ilikuwa na professional staff saba na supporting staff nane; ofisi yangu ikiwa turnover sawa na kwa mwajiri wangu wa zamani in professional staff saba na supporting staff mmoja. Nina maanisha ajira hazitolewi kuwafurahisha watu bali kuleta ufanisi na tija (productivity).
 
Uthibitisho ndo tutaufanyia kazi la sivyo hatuko tayari kujadili ugomvi binafsi. Kama itabainika ni kweli basi hatuna budi kuwasuta
 
TUTOR B ...........................UMEKURUPUKA KUJIBU, FIKIRIA KWANZA KABLA YA KUFANYA JAMBO LOLOTE OKEY?????katikamishahara ya wabunge serikali hutoa pesa kwa ajili ya malipo ya KATIBU na DEREVA, zaidi lengo laserikali ni kuongeza ajira. Na payslip ya Mbunge inaonesha kiasi fulani ni cha KATIBU, DEREVA etc sasa tamaa za WABUNGE WETU wanashindwa kuwapa pesa na hata Makatibu kwa kuwa ni lazima wawepo Ofisini wanapewa kiduchu kwa kuwa wengi wao si wasomi na hawana uelewa wowote.
 
mkuu umekuja na title nzuri lakini ulicho andika ni zaidi ya pumba....umeonyesha chuki za dhairi mbaya zaidi. umemjumuisha mbunge mahiri wa cdm Mh Z itto.
 
makamba ni mnafiki sana

sio makamba peke yake,Unamkumbuka Olesendeka,Kilango malecela,Zambi wote unawaskia siki hizi? Hawakuwa wakipinga ufisadi walikuwa wakipinga Richmond! Kilango anautaka u chairman wa UWT so akichonga ataukosa,hiyo ndo TANU ya kizazi kipya,Bila unafki hudumu kwan Selelii yuko wapi?
 
Oh, karibu sana JF jovitha mussa
user-offline.png

Junior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png



Mini Statistics

Join Date 2nd May 2012
 
Hivi Jovi unazijua stahiki za watumishi wa wabunge na je una uhakika kwamba zinalipwa? ama una chuki binafsi tu na waheshimiwa hawa????????????????????????????
 
Samahani mkuu, lakini hizo si ndio ajira zenyewe! sasa familia zao zitakwenda vipi chooni bila kula! Haiwezekani watajwe hao tu inaamaana madereva wao wana share hyo kadhaa! kwa hao wabunge waliotajwa plse endesheni hayo magari lakini haki zao hawa madereva muwape kama stahiki yao. plse
 
Kama wanachukua pesa ya DEREVA na KATIBU lazima watoe ufafanuzi pesa hizo wazitumiaje kuhalalisha kuendelea kuzichukua, vinginevyo waachane nazo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom