Kigwangalla atangaza nia kuutaka Urais 2025!!!

Enzi zamwalimu,mwinyi,mkapa,sikuwah kusikia watu wakiwazia ikulu namna hi,wakilala wakiamka mambo ni ulais sasaa itakuaje kila mtu akiwa lais?
 
Kama JK ameweza kuwa rais tangu 2005 hadi leo basi kila mtu anaweza kuwa rais wa Tanzania.
 
mimi sioni ubaya kwa alilo sema.mtu aweza kusema chote,kazi ya wasikilizaji ni kuchambua aliyosema kama yana maana na hasa ukilinganisha maneno yake na vitendo vyake.wengine maneno yao husahaulika mara tu baada ya kumaliza kunena,wengine maneno yao hukumbukwa milele hata kama alinong'ona na wengine maneno yao hukumbukwa daima kwakuwa yalijaa ujinga mtupu.wengine husema kwa minajiri ya kuondoa frustration mioyoni mwao.ndio dunia ilivyo.
 
mtu anashinda facebook muda wote kubishana na watu halafu nae anataka urais! Rais anaewaza kusomea watu al badil!

Mkuu lakini kigwangallah ataisadia kukuza uchumi wa nchi kwa bajeti ikiwa mbaya ataisomea albadili kama alivyowasomea wale waliomuua Jack zoka´.
 
Urais Urais Urais...
Inashangaza sana kuona kila mtu anafikiria Ikulu wakati mtaani kwake hata kuorganise wafukie masimo barabarani ameshindwa!!!
Wanaotangaza kuutaka Urais wanapaswa kutumia muda mwingi kuelezea nini wamefanya na wanafanya badala ya kujibandika majina ya kishujaa tu...
 
Ubunge wenyewe kapewa kwenye sahani, na wasiwasi hata udiwani hapati.
 
Pamoja na kuwa kidemokrasia wanayo haki ya kutoa mawazo yao na pia kugombea nafasi ya uongozi katika ngazi yoyote, wanachopaswa kufanya na tukione ni kuonesha uwezo wao unaondena na nafasi wanayotangaza kugombea, ni kweli position za chini wanaweza kuwa wametoa mchango mkubwa sana. Mwisho wanapaswa kujua kuwa watanzania wa leo wana uelewa mkubwa sana wa kupambanua mambo kuliko ilivyokuwa enzi za ZIDUMU FIKRA ZA KAMANDA WA SUNGUSUNGU
 
Pamoja na kuwa kidemokrasia wanayo haki ya kutoa mawazo yao na pia kugombea nafasi ya uongozi katika ngazi yoyote, wanachopaswa kufanya na tukione ni kuonesha uwezo wao unaondena na nafasi wanayotangaza kugombea, ni kweli position za chini wanaweza kuwa wametoa mchango mkubwa sana. Mwisho wanapaswa kujua kuwa watanzania wa leo wana uelewa mkubwa sana wa kupambanua mambo kuliko ilivyokuwa enzi za ZIDUMU FIKRA ZA KAMANDA WA SUNGUSUNGU
 
Wanapaswa hasa kutuongoza watanazia katika nafasi za urais, uspika, nk. hawatakiwi kuanza kwa staili anayoitumia Kigwagwala. Vinginevyo urais wa wakati huo upatikane kwa kuteuliwa na sikuchaguliwa.

Hajachelewe bado anaweza kujirekebisha iliatize ndoto zake. Ila akumbue akiupata urais kipindi hicho kwenye hutuba yake ya kwanza bungeni asitamke maneno ya "...nimekipata nilichokuwa nakitafuta...", maana kauli za namna hii zimeonyesha kuwa na athari mbaya kwa maendeleo ya wananchi wa kawaida.
 
I could say a few things about plagiarism, but this is Kigs, what do you expect.

After all anafuata nyayo za baba yake Nyerere.

Nachukia sana nikiona wanasiasa wanatumia maneno ya Bertrand Russell huko, au St Augustine, au Martin Luther King, halafu hawatoi attribution. Wanataka kuonekana kama ndio wao waliosema kwa mara ya kwanza maneno hayo.

Natumai mbio za urais hazijaanza na plagiarism.

una uhakika mkuu?
 
Na leo ameshapata tena ajali mbaya!!! Mpaka 2025 sijui tutakuwa naye!!!! Ha ha ha!! Chezea mtandao weye.
 
Huyu dogo anakuja juu kwa kasi sana, sidhani kama Bashe atamuweza. Sema inabidi aende kwa babu akaweke sawa mambo yake
 
una uhakika mkuu?

Nyerere alikuwa plagiarist.Several times.Kam plagiarize St Francis of Asisi kwenye kusema tuwashe mwenge tuuweke juu ya mlima Kilimanjaro "ulete matumaini pasipo matumaini, blah blah blah"

Ka plagiarize wimbo maarufu wa vita Uingereza katika speech ya ku declare war on Idi Amin "Nia tunayo, uwezo tunao blah, blah blah"

Ka plagiarize left right and center, with no attribution.

Wasiosoma na kujua hivi vitu wanamuona kasema yeye.
 
Kigwangwallah HAWEZI mshinda Bashe Jimbo la Nzega 2015 na HATA YY ANALIJUA HILO!Atategemea KAMATI KUU-CCM impe tena nafasi kwa HURUMA!

Sasa kama umeshindwa kuwashawishi wajumbe wachache wa Nzega kukupitisha utaweza vipi kuwashawishi wa TZ wakupe kura zao?Yale yale ya Hanangi kwa Sumaye ambapo kushindwa kwake na Nagu ndiyo mwisho wake kisiasa!

Akishindwa na Bashe 2015 ndiyo mwisho wake kisiasa!
 
Nyerere alikuwa plagiarist.Several times.Kam plagiarize St Francis of Asisi kwenye kusema tuwashe mwenge tuuweke juu ya mlima Kilimanjaro "ulete matumaini pasipo matumaini, blah blah blah"

Ka plagiarize wimbo maarufu wa vita Uingereza katika speech ya ku declare war on Idi Amin "Nia tunayo, uwezo tunao blah, blah blah"

Ka plagiarize left right and center, with no attribution.

Wasiosoma na kujua hivi vitu wanamuona kasema yeye.

Hata ideas za kutaka watu waweze kujiona watanzania kabla ya mengine azikuwa zake, lakini mbinu zake azikuwa sawa na za Nkrumah ambae alikuwa wakwanza kufanya hivyo barani Afrika. Hila leo tunaona matunda ya fikra za aina hiyo.

Na hapa wote hao hizo sio original ideas zao wazungu waliishaanza kulazimishina kujiona kwa ideology moja karne kadhaa na mbinu azikuwa zile zile za Nkrumah za kidecta wa huwazi wala za Nyerere ambazo for the most zilikuwa ni propaganda. Hao wazungu mpaka moto walichomana in the name of attaining the ideology.

Kikubwa hapa kilikuwa ni kuelewa the benefit of reinforcing the ideology. Sasa mtu anaetaka ku-impose hiyo dhana leo atakuwa vipi original na ukizingatia kwingi duniani bado hawajafikia hapo.

Tatizo sio mwalimu kamkopi nani au katoa wapi mawazo yake, tatizo alikifahamu vipi alichotaka kutuelewesha hapo ndio unamjaji mtu.

Lakini tukiangaika na kukopi maneno tutakuwa hatumtendei haki na hatuna ushahidi wa kusema ndivyo hivyo ameiga. Mwalimu alisoma kwa dhana ambazo hakuzitunga yeye surely his reasoning is going to be based on those acquired lines of his knowledge.

Having said that dhana nzima ya kutegemea yeye kuwa original inapotea hata kama atatumia the scientific reasoning to conclude his arguments. Na there is no shame on that, kama mtu ambae ni celebrated as 'Darwin' before haja chapishwa kakuta mtu kaandika exact the same theory and he had researched far apart from England; it tells you scientific research produce similar results. Why not philosophical or political rationale. And yes Darwin was published kwa upendeleo lakini hakuwa wa kwanza kuja na theory of evolution.

On the Origin of a Theory | Science & Nature | Smithsonian Magazine
 
Back
Top Bottom