chikakatata
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 220
- 98
- Thread starter
- #21
mimi hushindwa kumuelewa huyu kigwangalla na siasa hizi za kuchafuana maana nasikia ana hela nzuri pia ana elimu ya kutosha na mkewe ana kazi nzuri ya udaktari sasa anahangaika nini na siasa za ccm? hata hivyo nilimsikia kigwangalla akikanusha mkewe kugombea UNEC bali mkewe alishinda nafasi fulani kwenye umoja wa wanawake kule nzega, yeye kigwangalla ndiye aligombea nec akakatwa jina pamoja na bashe
YEYE ni MJUMBE wapi ? Sasa HIVI AMECHANGANYIKIWA... Anahitaji zaidi ya pyschogist
kwasababu amevunda Alitaka Kumwingiza Mkewe CCM-NEC na Mkewe ana kazi NZURI
ya UDAKTARI AMREF... Sasa Unaona Walikuwa Wanataka wale PESA ZA BURE
KIVULINI...