KIGWANGALAH @ WORK; Maandamano! Maandamano! Maandamano!

CDM wanaweza kuitumia hii nafasi kwa manufaa binafsi, vijana wakavaa magwanda wakakaa mstali wa mbele kwenye maandamano na Kingwangala, duh hii itatafsiliwa vipi sijui...huyu jamaa hajui nini anatengeneza..hii ni hatari sana, kwa kuwa vijana wa CDM ni wepesi sana wa kuambaa na loose balls, jipange Kingwa.
 
Kigwangala ungetulia ungeambulia hata Unaibu Wizara ya Afya kwa staili hii ni kuipinga Serikali ya CCM imeuiba Mgodi

Wewe unayeongelea Kigwangala kupewa Unaibu Waziri, unamfahamua au unaona tu maandishi yake humu JF? Tunaomfahamu tunasema huyu hafai kuwa kiongozi hata wa nyumba kumi. Siyo mtu unayeweza kumwamini kwa lolote, hawa ndiyo wasomi matapeli.

Aliiba jina
Aliiba baruti kwenye mgodi akafukuzwa kazi
Alitoa hongo kama wagombea wengine wa CCM kuupata ubunge
Aliwadanganya wapiga kura wake kuwa atawajengea chuo cha uuguzi
Aliwadanganya wapiga kura wake kuwa atawakopesha hela za kufanyia biashara/kuanzishia miradi
Aliwadanganya wapiga kura wake kuwa yeye ataubana mgodi ili uwajengee shule za kidato cha 5 na 6
Aliwadanganya wapiga kura wake kuwa mgodi umekwishakubali matakwa yake yote
Karibuni hapa ni kuhusu mgomo wa madaktari, nyote mnajua
Hata hayo maandamano aliyoyasema, nina hakika hayatafanyika labda kama atatembea yeye mwenyewe na wale vijana wake ambao huwa anawarushia alfu alfu.
 
Kigwangallah ndugu yangu acha unafiki kwani hautokusaidia kitu wewe usidhani kisa nzega ni kijijini basi utapata umaarufu kwa mipango yako yako isioendelevu.Sasa ebu nikuulize unaandama ili nini na iweje kwani mgodi wenyewe wa Resolute unafungwa august je waandamana ili usifungwe o wat?mimi nipo nzega apa nw acha kuwadanganya wana jamvi ambao n ma great thinker hunalolote magamba yanakuwasha kama vipi yavue.Jambo la pili jimboni kwako halmashauri kuna matatizo kibao umeshindwa kuyatatua leo wahangaika na mgodi ambao ushajifia,jimboni kwako Walimu wananyanyasswa na Nganya,na Kitundu,na afisa elim msingi na sekondari hospital DMO MBABE Hakuna amani dili na mambo ya msingi wewe ni kijana acha uongo.Mkurugenzi ni Fisad una shindwa ata kuongea na Wazir ukampa hali halisi ya halmashaur yako kwamba imeoza wewe unakalia maandamano ya uongo 2.SHAMU ON YOU..
 
namhurumia sana Kigwangala, kwa wananchi wa Tbr, tena wa ccm, aweza kujikuta anaandamana mwenyewe
 
yaan amepewa ubunge tena ccm hawezi kuibana hiyo serikali iwape wananchi wanachokitaka mpaka awatembeze kwa maandamano??hivi hawa magamba wanapiga ngoma wenyewe wanacheza wao??haya wananchi watazamaji.huyu jamaa ajipange 2015
 
Back
Top Bottom