Kigwangala alia na serikali

Huyu jamaa kigeugeu sana, mimi aliniacha hoi pale alipochomoa hoja ya kutoa shilingi wakati wa kikao cha Bunge liliopita, akashindwa kuwatetea wakulima wa pamba.
 
HI JF members, kwanza kbsa mimi sio mwana CCM na 'll never ever hapn ktk dunia hii ila plse m2 akifanya kitu kussuprt wananchi wake hata kama ana F's kibao mpe credit yake. At the end of the day ukweli utajitenga na uongo. Ustaarabu ni kuwa na moyo wa appreciation n it u none atall.
 
Jiuzulu ndo tujue nchi imejaa dhulma!we unang'ang'ania ujinga,achia ngazi kama we mwanaume unayependa kusimama mwenyewe usiyependa huo uhuni wa ccm!kama hutaki basi wajitafutia sifa tu tena za kijinga!

Tatizo si yeye gamba ndilo linalowasumbua.
 
Hamisi Kigwangalla ameandika haya yafuatayo katika ukurasa wake wa facebook.. Hebu pitieni na nyie muone wenyewe..

"Kwa hakika dhulma imetamalaki katika nchi hii!
Ukandamizaji umetamalaki katika nchi
hii! Nimekamatwa na polisi nikitetea
dhulma na ukandamizaji..
."

Ningekuwa na mda ningepita kwenye wall yake na kuandika hiviiii

Ni sawa kabisa Wakufunge kabisa tena Miaka mingi kama ndo ulichokuwa unafanya kama kawaida yako
 
Hamisi Kigwangalla ameandika haya yafuatayo katika ukurasa wake wa facebook.. Hebu pitieni na nyie muone wenyewe..

"Kwa hakika dhulma imetamalaki katika nchi hii!
Ukandamizaji umetamalaki katika nchi
hii! Nimekamatwa na polisi nikitetea
dhulma na ukandamizaji
..."
Kama anatetea dhuluma na ukandamizaji kwa nini asikamatwe na polisi?
 
Hadi akamatwe yeye ndo anajua kwamba nchi hii imejaa dhulma? kwanza alikuwa anawatetea wananchi gani? Wabunge wa upinzani wakikamatwa huwa wanawakebehi, sasa nao wakiguswa tu kidogo kelele nyingiiii. Bora yeye alikamatwa na kuachiwa siku hiyo hiyo, je wenzake wanaosota siku hadi wiki mbili! Magdalena Sakaya si aliwekwa lupanbgo karibia wiki mbili, mbona hakutoka kumsaidia japo dhamana na wote wanatoka tabora!??

anabahati kweli angepelekwa segadance ya tabora wanyampara wasingemwacha na alivyonofuka sikuhizi angetoka vidole juu haaaaaaaaaiiiiiiiiiiiii mh spiiiiiiiiikaaaaaaaaaa kwwaaaaaaaaaaaahkwellllllliiiiiiiiiiiiiiiii waaaaaaaameeeenitendaaaaaa ntoto wa mwenzioooooo nikiwa jelaaaaaaa kweli jela kubaya ...sijui wamemwachiaje hao mapoliisi
 
huyu hana utofauti na miss america ngoja uonje chungu ya pilipili nadhani ukitoka hapo utawaelewesha rafiki zako jinsi hii mambo ilivyo.
 
Hamisi Kigwangalla ameandika haya yafuatayo katika ukurasa wake wa facebook.. Hebu pitieni na nyie muone wenyewe..

"Kwa hakika dhulma imetamalaki katika nchi hii!
Ukandamizaji umetamalaki katika nchi
hii! Nimekamatwa na polisi nikitetea
dhulma na ukandamizaji..."

hahahaha huyu jamaa ni kituko. kweli nimeamini mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu tena sanaa.. anayooongea ni ya ukweli kabisaaaa...alimkandamiza na kumdhuluma bashe bila woga...tena akajiona bonge la baunsa... sasa leo analialia nini huyu mtoto mzuri...hahaha anatia huruma...
 
Hamisi Kigwangalla ameandika haya yafuatayo katika ukurasa wake wa facebook.. Hebu pitieni na nyie muone wenyewe..

"Kwa hakika dhulma imetamalaki katika nchi hii!
Ukandamizaji umetamalaki katika nchi
hii! Nimekamatwa na polisi nikitetea
dhulma na ukandamizaji..."

Analalamika nini, alikuwa nafurahia CDM wakifanyiwa hivyo. Ameona utamu wake. Ni bora asipige kelele anyamaze tu maana serikali hiyohiyo ndo anaisifu kwa utawala bora.
 
Hamisi Kigwangalla ameandika haya yafuatayo katika ukurasa wake wa facebook.. Hebu pitieni na nyie muone wenyewe..

"Kwa hakika dhulma imetamalaki katika nchi hii!
Ukandamizaji umetamalaki katika nchi
hii! Nimekamatwa na polisi nikitetea
dhulma na ukandamizaji..."

aende zake huko,
ndo anajua leo?
 
HI JF members, kwanza kbsa mimi sio mwana CCM na 'll never ever hapn ktk dunia hii ila plse m2 akifanya kitu kussuprt wananchi wake hata kama ana F's kibao mpe credit yake. At the end of the day ukweli utajitenga na uongo. Ustaarabu ni kuwa na moyo wa appreciation n it u none atall.

Humjui vizuri Dr Kigwangala wewe. Mfuatilie tangu mchakato wa chama chake hadi akapitishwa. Na tangu alipoingia michango yake bungeni. Anatafuta umaarufu kwa njia ya ajabu[cheap popularity]. Mimi haiba yake siipendi. Wajua inatakiwa mtu akituhutubia kwa mfano kuhusu rushwa n.k. inatakiwa tumuangalie machoni na tumpime kauli zake kama zina udhati..We should do this ALL LEADERS kwa kweli.
 
hahahaha huyu jamaa ni kituko. kweli nimeamini mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu tena sanaa.. anayooongea ni ya ukweli kabisaaaa...alimkandamiza na kumdhuluma bashe bila woga...tena akajiona bonge la baunsa... sasa lAeo analialia nini huyu mtoto mzuri...hahaha anatia huruma...
Ana uzuri gani. Uliazima miwani ya watu nini ulipokuwa unamwangalia!
 
huyu nae sijui ana matatizo gani, yaani unapingana na watu wanaokupatia ugali?? Njoo CDM kama kweli unamaanisha unachokisema, huko waache akina Six

aje cdm wakati ni mrundi, unataka magamba wamrudishe kwao kwa bajaj,huyu bwana ana kihelehele cha umaarufu wa kijinga cha ajabu amesukiwa nafasi hiyo na mama vasco da .........??????
 
HI JF members, kwanza kbsa mimi sio mwana CCM na 'll never ever hapn ktk dunia hii ila plse m2 akifanya kitu kussuprt wananchi wake hata kama ana F's kibao mpe credit yake. At the end of the day ukweli utajitenga na uongo. Ustaarabu ni kuwa na moyo wa appreciation n it u none atall.

Humjui vizuri Dr Kigwangala wewe. Mfuatilie tangu mchakato wa chama chake hadi akapitishwa. Na tangu alipoingia michango yake bungeni. Anatafuta umaarufu kwa njia ya ajabu[cheap popularity]. Mimi haiba yake siipendi. Wajua inatakiwa mtu akituhutubia kwa mfano kuhusu rushwa n.k. inatakiwa tumuangalie machoni na tumpime kauli zake kama zina udhati..We should do this ALL LEADERS kwa kweli.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom