Kigugumizi cha Membe katika vita dhidi ya ufisadi...

That is a suicide mission. Anzeni then tumalizie. Nani anaweza kurusha jiwe wakati huo amechafuka mwili mzima. Anzeni sasa maana tayari ameshatangaza nia. Mkifanya hivyo, kumbukeni ile hotel iliyopo Monduli inayotumika kujaza vimada wa jamaa wa mamvi. Halafu tujue kinachoendelea kwenye ndoa ya Mbowe ambayo inayumba sana!

wote lazima tuwamulike tu hakuna namna.............
 
Membe bhana! Si ndo huyu mzee wa diaspora? Mzee wa OIC? Mzee wa ucameroun? Nyoka wa mdimu?...kama urais wa Yanga ok bt wa Tanganyika Noooo!

aulilia uraisi kwa udi na uvumba hata kama ikibidi asaliti maadili ya utaifa wetu....
 
Hapo ndipo sikuelewi. Unataka Membe akutajie nani na wewe unawajua na umma mzima unawajua? Akiwataja yeye anaongeza nini? Lakini pia kazi ya Waziri si kulalama. Ukiona Waziri analalama basi kuna tatizo la msingi. Waziri ni mjumbe wa Cabinet ni vile yanayozungmzwa huko ni siri. Hawezi kuwa na yeye anaungana na sisi kwenye jamii forums kulalama.

Napata tabu kuelewa kuwa vyobo vinavyohusika huvilaumu ila unamlaumu Membe. Nitakuelewa ikiwa lengo la thread hii ni Membe, na si ufisadi.

haya sasa ni makaa ya moto......................uongozi ni kujitolea siyo kulinda mkate wako tu.............
 
haya sasa ni makaa ya moto......................uongozi ni kujitolea siyo kulinda mkate wako tu.............

Hivi wewe m.w.e.h.u unajisikiaje kuwa unaendesha mjadala peke yako na bila kupata support? Haya basi Membe hajatoa tamko kuhusu ufisadi! Then ungetaka tufanyeje?
 
Hivi membe ana historia gani ya utendaji, nzuri au mbaya, ya kumfanya afikirie kuwa rais?
 
Shost wake R.A!akemee ufisadi,nyerere alisema utawaona tu, sura zao wakati wanakemea sura na roho haviendani kabisa!nyerere alikufa na ccm yake iliyobaki hii na wanyang`anyi na majambazi,hakuna wa kumkemea wmenzake ccm,wakae kimya!wameshindwa na kumfukuza zee la vijisent na shost wake lowasa wana baki propaganda watu wamechoka mambo ya kizamani tunataka kuona mapya ya CHADEMA
 
Naona Membe Anajifurahisha Tu!! Hana Historia ya Lolote Jema ambalo amelifanyia Taifa!! Yatakuwa yale yale!!!
 
Tatizo ni sisi wapiga kura hatupendi watu wanaokemea ufisadi...Dkt Slaa si alikemea sana ufisadi kabla ya uchaguzi 2010!!
"Asiyejua maana,haambiwi maana"
Kaka nimeipenda hii,kwa watu wengi ni ngumu kumesa!!Sijui watz wanataka nini...
 
Ilipokuwa kupigania matunda ya ufisadi wa rada kurudishwa nyumbani......................bw. membe alikuwa mstari wa mbele na alifikia hadi kudai ya kuwa kukataa kwa serikali ya uingereza ilikuwa inafanya ukoloni mambo leo.......................lakini inapokuwa dhuluma ya uongozi uliopo dhidi ya raia wanyonge wa hili taifa kupitia kashfa za meremeta, rada, epa, kujivua gamba ndani ya chama chake cha ccm...................................n.k..................................membe huwa kimya au hupatwa na kigugumizi kizito kukemea maovu ndani ya jamii yetu.................kweli kimya kingi kina mshindo mkuu.................

hela ya epa iliyorudishwa wajanja tayari wameitafuna........................lakini hutamsikia membe akiongea lolote hapo..........hapo hana macho ya kuona lolote......hela ya rada iliyorudishwa tayari ipo kwenye mahesabu ya kutafunwa kwa mara ya pili...................................membe huko hayupo hutamsikia........................yeye kazi yake ni kupandisha sauti na huku udenda ukimdondoka kwa kutetea na kupigania kuwanyamazisha mabalozi waliopo nchini wasikemee maovu ndani ya jamii yetu akidai kwa kufanya hivyo ni kuinglia uhuru wetu.............................

lakni inapokuja kutembeza bakuli yupo mstari wa mbele kurudi kwa hao hao wakoloni mamboleo kudai kibaba cha unga..................hawa ndiyo bora viongozi badala ya viongozi bora.............................na hivi sasa wanajipanga kutwaa dola............

huko tuelekeako kutakuwa kubaya maradufu kulikoni tulipo hadi hapo tutakapoanza kutafakari aina ya ubora wa viongozi tulionao................................................
Nimeipenda hii/ WaTZ wote wanatakiwa wawe macho kuona chui walio katika mavazi ya kondoo wakitafuta urais. Utakumbuka JK 2005 alikuwa mkali na tukampenda kuhusu ufisadi na kuahidi kuushughulikia kikamilifu! Lakini alipopata tu urais alitumia neno "tutawashauri" mafisadi waache.
Aliongea akisema jamani "tusije laumiana" baadae. Kweli magamba wana viongozi na vigozi vya gamba!!!
 
watakaotajwa wote ni mafisadi sijui ccm ifanye nini, labda tumrudishe SAM kama bado ana nia
 
Back
Top Bottom