Kigoma: Mwisho wa Reli, Mwanzo wa Huzuni...

Tanzania ni nchi yenye mali nyigi watu wengi wa ulaya wanaililia sana.... hiki kipande tu cha wimbo niliwahi kuimba nikiwa primary....!
dah,,,,umenikumbusha miaka ya1984,,ngulu,,,,kwakoa,,,mabashula,,,kule mwanga,k,njaro,,,,,,asante sana
 
Duh kaazi kwelikweli........... wadau munakumbuka aliyo sema Mwl. Nyerere..............
yaani siku hizi watu wanajali maslahi yao huku raia wa hali ya chini tukiendelea kunyong'onyea huo ndo ukamanda?
 
Mbunge wa Kitaifa Zitto naona hayo hajayaona ,Na Mwenyekiti mtarajiwa wa NCCR kafulila inaelekea anaona waombarushwa wabunge wenzake tuu ,Na Katibu Mwenezi mpya wa NCCR Machali yeye anayaona ya Mtwara na soko la korosho tuu na Mwanasheria mjanja mjumbe wa halmashauri kuu ya NCCR yeye anachojua ni Kutetea wale wanaoona ubaya wa uongozi wa NCCR na Serukamba kazi yake kubeba mikoba ya wenye fedha kutoa ripoti za utata za wizara kama mwenyekiti wa kamati jamani wabunge uoneeni huruma mkoa wenu embu pigeni kelele kwa nguvu zenu zote acheni kuona aibu kule ni kwenu hata mfanyeje

Je? Wale wanawake vipi. Kina Mhonga Ruhanywa,Sabreena Sungura na Zaituni Buyogela? Hivi wa CCM Kigoma haiwahusu kabisaaa!!!!
 
Je? Wale wanawake vipi. Kina Mhonga Ruhanywa,Sabreena Sungura na Zaituni Buyogela? Hivi wa CCM Kigoma haiwahusu kabisaaa!!!!

M4C napendekeza ifike haraka kigoma vijinini, hasa kusini. Watu ni maskini wa kutupa nawamekata tamaa ya maisha! wako tayari kwa mabadiliko.Kata za Ilagara, Sunuka, Sigunga, Buhingu watu wapo tayari kwa changes.
 
Back
Top Bottom