Hivi umesoma vizuri posti husika au umekurupuka kujibu? Wewe ndo unayefikiria kwa kutumia masaburi
Muha mmoja anauwezo wa kubishana na abiria 80 ambao ni behewa zima...haijalishi yuko right or wrong. Ila sifa yao kuu wako committed na mambo wafanyayo. Ukikuta ni mlokole ni mlokole kweli...vivyo hivyo kws footballers..jambazi...wachawi n.k
Ni kuwa hawa ndugu zetu kwa kuwa pembezoni mwa nchi hii,kwa miaka mingi kiuchumi walisahaurika sana na hii sirikali ya SISIEM! Hivyo basi shida nyingi walizokuwa nazo zikawafanya waichoke SISIEM na kuamua kuwapa upinzani,na hawa magamba wanalifahamu sana hilo ndo maana saiz wanapewa ahadi lukuki!ni miezi kadhaa imepita tangu uchaguzi mkuuu ufanyike. majimbo ya ubunge karibia yote yamekwenda kwa vyama pinzani. sidhani kama kuna mkoa ambao hili limeshawahi kutokea hapo kabla.je huu mwamko au uthubutu wa kufanya maamuzi haya unatokana na nini? je ni elimu, maendeleo ya kiuchumi, au aina ya watu na desturi za watu (makabila) yaishiyo huko? kwa nini hayo hayatokei mikoa mingine. naomba wadau mnisaidie kwa hili?
Kilichofanyika Kigoma kimewahi tokea mkoani Kilimanjaro mwaka 1995. Leo hii 80% ya wabunge wa CCM Kilimanjaro ni mawaziri hao ni Chami, Mathayo David, Mwanri na Prof. Maghembe. Ni mbunge Kilango tu ndiye siyo waziri!
Majimbo yaliyobaki huko Kilimanjaro yako chini ya upinzani hususn CHADEMA na TLP. Hii ina maanisha nn? Mkoa unaosumbua sana ccm uko likely kutoa mawaziri wengi. Huu ni mtizamo wangu.
Hesabu hiyo hapo juu ina maana kubwa zaidi kwani ni sawa na kusema 100% ya wabunge Wachaga wa CCM toka Kilimanjaro ni mawaziri! Hao ni Chami na Mwanri na 66% ya wabunge Wapare wa CCM toka Kilimanjaro ni mawaziri! Hao no Magembe na Mathayo Davi Mathayo
Nawapa heko jamaa zangu wa Kigoma kwa kuchagua upinzani kwani kwa umbumbu wa CCM very soon wataanza kurip profit ya kuchagua wapinzani!
Wenzetu wa Kaskazini walishaliona hili la ujinga wa CCM mapema ndio maana daima wanawapiga bao CCM!
Muha mmoja anauwezo wa kubishana na abiria 80 ambao ni behewa zima...haijalishi yuko right or wrong. Ila sifa yao kuu wako committed na mambo wafanyayo. Ukikuta ni mlokole ni mlokole kweli...vivyo hivyo kws footballers..jambazi...wachawi n.k