fasiliteta
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 2,165
- 3,655
Yupo rais wao aitwa mzito kabwela ataibadilisha
Bado haijawa dubai lakini kwa sasa tunasubiri viwanda tulivyo ahidiwaKwani bado?
Hivi nyie waha vipi? Mko nchi gani? Bado mnategemea blaa blaa za Kikwete zitekelezwe? Kwa taarifa yenu hsyo maisha mnayoishi ndiyo mko Dubai hivyo.Wananchi wengi wa Mkoa wa Kigoma wamekasirishwa na Ahadi za Rais ambazo wameshaona hazitekelezeki za kubadilisha mkoa wao kuwa kama dubai kushindikana wamesema wanataka angalau barabara kwasababu swala la kuifanya kuwa dubai haliwezekaniki hata wakipewa miaka mia chini ya uongozi dhaifu wa CCM hilo ni ndoto. hata waliposikiliza hotuba ya waziri wa Aridhi prof Anna Tibaijuka hakuongelea suala kama hilo kilicho waudhi zaidi hata mji mpya wa kigamboni umetengewa asilimia chache mno kwenye budget. sasa wanashangaa kilichowaleta wakina Nape na team yake nini? badala ya kupeleka makandarasi.
source ni mimi mwenyewe nipo kigoma