Kigogo wa kike aliyelipa m 7 kufanyiwa shoo peke yake

Chanya

Senior Member
Mar 2, 2011
133
22
wadau leo mchana msanii wa muziki Bob junior amekiri live kwamba alilipwa m7 cash ili amfanyie shoo kigogo mkubwa wa kike hapa nchini ambaye ni mwanasiasa mkubwa anayeishi masaki tena wakiwa wawili tu ndani ameongea mengi ila amesema katu hatomtaja jamani mwenye jina aliweke hapa source You heard Clouds
 
gaddafi na wanae pia alikuwa anafanya hivi
hizi ndo tabia za viongozi wa africa
 
hivi bi kirobotiii anaishi masaki? Eti mauno yangu wengine wanayabeza lakini mama kayakubali kanipa m7-mr.chokoleti.
 
wadau leo mchana msanii wa muziki Bob junior amekiri live kwamba alilipwa m7 cash ili amfanyie shoo kigogo mkubwa wa kike hapa nchini ambaye ni mwanasiasa mkubwa anayeishi masaki tena wakiwa wawili tu ndani ameongea mengi ila amesema katu hatomtaja jamani mwenye jina aliweke hapa source You heard Clouds

Mshamba tu huyu, anatafuta umaarufu wa kuunganisha maneno 'masaki' na 'kigogo'; hakuna kigogo mwenye kuhitaji shughuli ya maana anayeweza vutiwa na bob junior kwani amekaa kikike sana;
 
Huyo bobo junior aje kwangu manake naona kama vile ana ji promo mwenyewe kwa kuharibbia wenzake heshima ila aje kabisa na yale mafuta yao sjui mbayaitaje?
 
Uswahili kazi kweli, bora uchawi! Sasa hapo asubiri watamuita tena! Bora Bililla walifungua hotel bongo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom