Kigogo mwingine wa chadema apandishwa kizimbani Arusha

Mwan mpambanaji

JF-Expert Member
Apr 3, 2008
482
131
Mwenyekiti wa chadema mkoa wa arusha amepandishwa kizimbani leo,akiunganishwa na kesi inayowakabili viongozi na wabunge wa chama hicho,kuhusu tukio la tarehe 5.
 
kadiri Hawa wajinga wanavyowakamata viongozi wa CHADEMA ndivyo hivyo hivyo CHADEMA inavyoimarika na kupata sifa mbele za watu. Wajue/watambue kuwa wanaisafishia CHADEMA njia....si si em bye bye 2015!!!!!!!!!!!!!HEREEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE:clap2:
 
Waache CCM iwapeleke viongozi wa Chadema kwenye mahakama zao, huku wananchi tumeshamaliza kuihukumu CCM. Kwa kuanza hatuitaki CCM huku kwa wananchi.
 
Madikteta wote duniani walitumia/wanatumia mbinu kama hizi. Ole wao maana wanatutawala kwa mabavu ipo siku tatawa-tunisia wao na familia zao!
 
CHADEMA hakuna vigogo, bali kuna makamanda wapiganaji, na mwenyekiti wa chadema Arusha anaitwa Samson Mwigamba, kila jumatano huwa anatoa makala zake kwenye gazeti la Tanzania daima kwenye ukurasa wa kalamu ya Mwigamba, je ndio huyo aliyepelekwa mahakamani? uwe unajitahidi kuleta habari kwa ukamilifu na sio habari nusunusu.
 
CCM na serikali yake wanatapatapa sana....yaani kwa maneno mengine ni kuwa wanaweweseka...hata wawafunge wote tutawapigia kura wakiwa huko huko jela
 
source tafadhali

Mkuu kuna vtu vya kuuliza source, sio taarifa kama hizi, hata yeye alieanzisha thread anaweza kuwa source tosha kabisa. hata wewe kama upo Dar ukiwa maeneo ya mahakama ya kisutu kama kuna mtu maarufu anapandishwa kizimbani utajuwa tu mkuu, kwahiyo kwa habari hii huna haja ya kuuliza source.
 
Amekaa some like two hrs lockup, kwa sasa makamanda wameshamdhamini yuko nje baada ya kusomewa mashtaka
 
Wapigania haki waendendelee kuonewa hakuna tatizo. Hukumu ya ujambazi huu wa CCM 2015.
 
kadiri Hawa wajinga wanavyowakamata viongozi wa CHADEMA ndivyo hivyo hivyo CHADEMA inavyoimarika na kupata sifa mbele za watu. Wajue/watambue kuwa wanaisafishia CHADEMA njia....si si em bye bye 2015!!!!!!!!!!!!!HEREEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE:clap2:

They know nothing
 
Back
Top Bottom