Kigogo mwingine wa CCM ahamia CHADEMA

Kwa taarifa za uhakika nilizopata Mtunza Hazina wa Wilaya ya Mbozi toka CCM anahamia CDM leo mchana, kila kitu kiko tayari imebaki kwenda kumkaribisha mbele ya wanachama mchana wa leo.
Hilo linafurahisha. Wadau (Wana JF) nimesikia pia kuwa kuna kigogo mwingine wa CCM babati naye ametangaza kuhamia CDM! Mwenye habari zaidi anijuze nifurahi zaidi!
 
Hilo linafurahisha. Wadau (Wana JF) nimesikia pia kuwa kuna kigogo mwingine wa CCM babati naye ametangaza kuhamia CDM! Mwenye habari zaidi anijuze nifurahi zaidi!
Hata mimi nimesikia magazetini lakini huyu anatoka TLP................................
 
Anamwachie nafasi ya uongozi Shitambala, maana amesota muda mrefu kwa udanganyifu wa CCM hadi anajutia kutongozwa na chama cha magamba na kuishia kuhadaiwa na akahadaika.

Hivi hakupewa tena ukuu wa wilaya kama alivyokuwa ameahidiwa.....
 
Kwa kuwa alikuwa mweka hazina. Tutarajie kauli hii kutoka Magamba "Katoroka na fedha za saccos huyo" Lakini ukweli bado utabaki kuwa amejiunga kwenye chama makini. Hongera.
 
Wanaondoka CCM na kukimbilia CDM ni loosers by Rejao
naona siku hizi hata kuingia humu JF, rejao hataki tena, M4C with no apology
 
ccm kiboko yani chama cha siasa halafu hapo hapo inakua saccos,Tendwa fafanua ile ni taasisi ya fedha au rushwa?
 
Kwa taarifa za uhakika nilizopata Mtunza Hazina wa Wilaya ya Mbozi toka CCM anahamia CDM leo mchana, kila kitu kiko tayari imebaki kwenda kumkaribisha mbele ya wanachama mchana wa leo.

Hivi nae huyu ni kigogo
 
Kwa taarifa za uhakika nilizopata Mtunza Hazina wa Wilaya ya Mbozi toka CCM anahamia CDM leo mchana, kila kitu kiko tayari imebaki kwenda kumkaribisha mbele ya wanachama mchana wa leo.

Huyo si kigogo bali kikuni ambacho hakiwezi kupunguza ukali wa moto kwenye kupika so mnacheza tu kuhamia jeshi la mgambo!
 
Si huyo tu wengi wataihama ccm. Kwa mwenye akili timamu kukishabikia chamacha mafisadi.
Karibu sana cdm.
 
Jamani who is "Kigogo" kwenye siasa? It seems everyone it titled Kigogo when defecting from Magamba

Umenikumbusha wakati Mpendazoe alipohamia CCJ. Alipoulizwa Msekwa kuhusiana na "kigogo" huyo kuhamia CCJ, yeye alijibu "Mpendazoe naye ni kigogo!!!??? .....you must be jocking!" Ni kweli kuna haja ya kujua nani ni kigogo.
 
Acheni utoto. Subirini ahame ndio mtujulishe. Kwani lazima uwe wa kwanza kutoa taarifa? Asipohama nitakutukana tusi baya.

Mkuu huna haja ya kunitukana tusi baya, alishahama toka jana, ila alikuwa anafanyiwa maungamo, ili asije CDM kwa kutegemea kupewa nafasi. Hivi ninavyotuma huu ujumbe ndiyo yuko kwenye mkutano wa hadhara sasa na makamanda ili wamtambulishe kwa umma, kwani wenye wajibu wa kuendelea kumlea ndani ya kipindi cha MPITO ni umma unomzunguka. Kwahiyo sharti alilopewa la kwanza ni kutangaza yeye mwenyewe mbele ya watu isije ikaonekana kuwa kuna aliyeenda kumleta.
 
Hata mimi nimesikia magazetini lakini huyu anatoka TLP................................

Kamanda huyo wa TLP labda ni mwingine, huenda ni yule wa jana anayehamia toka TLP wa Songea, huyu ninayesema ni toka CCM na sasa yuko kwenye mkutano wa hadhara, makamanda wamemwambia akiri mwenyewe mbele ya umma kuwa sasa anatoka kwenye magamba
 
Umenikumbusha wakati Mpendazoe alipohamia CCJ. Alipoulizwa Msekwa kuhusiana na "kigogo" huyo kuhamia CCJ, yeye alijibu "Mpendazoe naye ni kigogo!!!??? .....you must be jocking!" Ni kweli kuna haja ya kujua nani ni kigogo.

Jamani suala kuwa ni kigogo au si kigogo inategemea uko wapi, huko vijijini hata Mtendaji wa kijiji ni sawa na Mungu mtu, anakamata, anatoa hukumu hadi kufunga au kufungua mtuhumiwa. Kwahiyo kwa ngazi ya Wilaya, huyo ni kigogo. Mnasahau namna ambavyo wenyeviti wa CCM wa mikoa wanavyopiga makofi hadi askari? huo ndiyo ukigogo wenyewe.
 
Back
Top Bottom