Kigogo mwingine wa CCM ahamia CHADEMA

Kwa taarifa za uhakika nilizopata Mtunza Hazina wa Wilaya ya Mbozi toka CCM anahamia CDM leo mchana, kila kitu kiko tayari imebaki kwenda kumkaribisha mbele ya wanachama mchana wa leo.

tunamkaribisha sana.. lakini akubali kuwa mwanachama wa kawaida kwanza... CDM 2015
 
Nape come out!!!! speak out!!! Naye alikuwa mzigo kwa chama? Alishaambiwa ajivue gamba? Ni fisadi?.....
 
Ritz uko wapi? Kesi nyingine hiyo katoroka na hela. Na hivi ni mweka hazina wa chama? Utasikia.
 
Tunamkaribisha lakini do not expect to be a leader at the moment hadi tuwape ubatizo wa maji mengi na mtubu dhambi zenu mkiziungama kwa dhati na kuwa tayari kufanya malipizi. Mtueleze na wenzenu mliowaacha huko dhambini wanadhambi gani nzito nzito ili nao tuwaite kwa kitubio. Tuwatakase kwa mamlaka tulopewa na chama
 
Kwa taarifa za uhakika nilizopata Mtunza Hazina wa Wilaya ya Mbozi toka CCM anahamia CDM leo mchana, kila kitu kiko tayari imebaki kwenda kumkaribisha mbele ya wanachama mchana wa leo.

Acheni utoto. Subirini ahame ndio mtujulishe. Kwani lazima uwe wa kwanza kutoa taarifa? Asipohama nitakutukana tusi baya.
 
Kwa taarifa za uhakika nilizopata Mtunza Hazina wa Wilaya ya Mbozi toka CCM anahamia CDM leo mchana, kila kitu kiko tayari imebaki kwenda kumkaribisha mbele ya wanachama mchana wa leo.

Ni wakati sasa wa wanachama wote wasafi waliopo ndani ya CCM kuhama chama hicho na kuwaachia wachafu waendelee kukimaliza taratibu.
 
Rejao nae siku ya Ijumaa aliyopanga kuhamia CDM tutamwita kigogo kwa muda...
 
Wapi Shitambala Sambwee, huko alipo nadhani kuna mfaa zaidi.
 
Afadhali ameondoka maana alikuwa mzigo usiobebeka ndani ya chama.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
Anamwachie nafasi ya uongozi Shitambala, maana amesota muda mrefu kwa udanganyifu wa CCM hadi anajutia kutongozwa na chama cha magamba na kuishia kuhadaiwa na akahadaika.
 
Back
Top Bottom