Kigogo CCM na kashfa ya UTAPELI, ahaha kujisafisha

attachment.php


SOURCE: Mwananchi, 5 January 2012 na pia kwenye The Guardians toleo la 02 Jan 2012

Ni KIGOGO wa UVCCM mkoa wa Pwani
Aliwahi kugombea ubunge tiketi ya CCM pwani 20120 akatoswa kwenye kura ya maoni...
Ametapeli hela za hiyo kampuni na kesi yake iko mahakamani

Kwa sasa viongozi wa juu wa UVCCM, usalama wa taifa na yeye mwenyewe wanahaha kumsafisha kwani yumo kwenye shortlist ya mkulu kuteuliwa kuwa mkuu wa Wilaya

My take
: Hii ndio aina ya viongozi tunaowaandaa waje kuwa mawaziri kwa utapeli huu akiwa kiongozi wa juu hata kidogo tulichonacho kitapona kweli? JK tuonee huturuma waTanzania kwa miiaka minne iliyobaki kwa mwendo huu
ukiimaliza tutakuwa wapi.

NAWAKILISHA.....................
huyo ni mwizi fine. lakini umeongeza chumvi. unaushahidi gani kuwa yupo kwenye shortlist ya JK kuwa mkuu wa wilaya? Ujinga.
 
imekuwa kawaida wizi kutokea ndani ya CCM na ni kawaida kwa kikwete kuwateua watu ambao wanatuhumiwa kwa ujambazi na kuwaita wachezaj bora na kuwapa ulaji ndani ya serikali. rest in peace my country
 
mkuu akisha amua bana hakuna wa kumrudisha nyuma,hata awe ameiba mamilioni,atalamba tu ukuu wa wilaya
tusubiri tuone
 
I expected nothing less from CCM leaders. Hata mwenyekiti wao wa Taifa alishakiri hadharani kwa kusema "Tukianza kusemana NANI ATAPONA"?

Hata na wewe hutapona. Hivi kweli hujawahi kudanganya kwa kupeleka risiti feki huko serikalini? nani amnyooshee mwenzake kidole kuwa ana dhambi?
 
CCM hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee..................
Chama cha MATAPELI oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.............................
 
Wengine ni kama balaa fulani, kama wanaandaliwa kama huyu, basi wapo wengi ambao ni mzigo kwa taifa.
 
Kama ni kuwapa nafasi watu wapya wawape lakini kwanini bado wale wa zamani bado wanapata? hiyo ndio inashangaza

Viongozi wote ni kutaka Mali wapya na wazamani hiyo ndio CCM Chama cha Mali
 
Upuuzi mtupu. Sasa hili suala na CCM vinahusiana vipi?. Mkilala mkiamka mnafikiria na kutafuta mabaya ya CCM tu, mabaya na matatizo yenu hamyaoni.
 
Hata na wewe hutapona. Hivi kweli hujawahi kudanganya kwa kupeleka risiti feki huko serikalini? nani amnyooshee mwenzake kidole kuwa ana dhambi?


Sifanyi kazi serikalini na wala sina mpango huo. So issue ya risiti bandia haipo. Na hata ningekuwa nafanya kazi serikalini nisingekuwa na sababu ya kupeleka risiti bandia. Kuna namna bora zaidi na za halali za kujipatia kipato.

USITAKE KUHALALISHA WIZI WENU HAPA.
 
Rais wetu ni mtu makini na kimsingi hawezi kuongozwa kwa kufanya maamuzi kwa kufuata hoja ambazo hazina msingi,zaidi ya kujaa fitna na uchonganishi.

Nashindwa kuamini kuwa kuna watu wenye akili za kawaida wanaomuona kikwete kuwa ni mtu makini. Umakini hauwezi kuhusishwa na mtu kama kikwete kwa jinsi serikali yake ilivyo.
 
Kaazi kweli kweli. Who this guy is? Ana elimu kiasi gani?
Mkuu watu wanasema huyu jamaa mwizi, wewe unauliza ana elimu gani! Elimu ina uhusiano na wizi wake huo? Au unataka kujua kama ni wizi wa kalamu ama wa kutumia nguvu? Kwa mujibu wa tangazo, jamaa aliaminiwa kisha akatimua na pesa za mwajiri!

Lakini mbona wizi ulifanyika 2008, jamaa akajaribu kugombea ubunge 2010 lakini hadi juzi ndio jamaa (MOGAS) wanatoa Tangazo!

Vipi jamaa ana kesi mahakamani au polisi hawakupata ishahidi wa kutosha kumburuza mahakamani? Manake tangazo linasema tu kwamba walitoa report police na.kufunguliwa jalada (RB) kwa ajili ya upelelezi lakini hatujaambiwa kama kesi iko mahakamani au la.
 
washasema CCM hakuna msafi ni lazima uchafuke ndio uchaguliwe na chama cha mafisadi, Mh. Sofia Simba alivyosema hamkumulewa? ngoja yule aliyesema kuwa Lowasa ni mwanamme wa shoka atakavyopita kilaini, kwani kashifa kaimwaga kwa lafikia ambaye hakukutana barabarani huku mzee wa vijisenti akiwa waziri mkuu na Rostamu akirudi na maisha mapya kuwa waziri wa fedha kwa kuwa siasa uchwara wa kuvuana Magambas umeanguka kama landslide
 
hapa kuna kulipizana kisasi, kwani haiwezekani mtu atoweke kazini 2008 atafutwe leo. je hapa kati kati angekuwa anatapeli pesa za wateja kwa jina la kampuni ingekuwaje? they are not serious.
ni siasa uchwara tu hao
 
hapa kuna kulipizana kisasi, kwani haiwezekani mtu atoweke kazini 2008 atafutwe leo. je hapa kati kati angekuwa anatapeli pesa za wateja kwa jina la kampuni ingekuwaje? they are not serious.
ni siasa uchwara tu hao

Tanzaniana are so TOmasos thus why wanene wachache wanafaidi nasi tunachekelea hehehehehe
 
Back
Top Bottom