Kigogo CCM ataka walionufaika na hela za EPA wajitoe CCM

Mshirika wa EPA, JITU PATEL alichanga milioni 250 katika ndoa ya Malecela na Anna Kilango; source Sofia Simba (Aliyekuwa Waziri wa Utawala Bora;- Bosi wa PCCB na TISS

duh yaani jamaa anachangia harusi 250M,kulaleki walahi..halafu mnasema umasikini wa Tanzania unasababishwa na ujamaa??
 
Maikini CCM na JMK
wanafukuza inzi ile hali wamesahau kuondoa mavi aka kinyesi ambacho inzi ndio waliokifuata........JKM,this chairman is a big shell,if CCM will still hold him they have nothing they can do inorder to be safe.
 
Unafiki katika issue ya Magamba ni wazi.

Kama wana nia ya kuvua magamba basi wote wenye ufisadi wafukuzwe na waseme wazi kuwa lazima wapelekwe mahakamani...!
 
Itabidi wavunje chama maana CCM yote ilineemeka kwa pesa za wizi kupitia EPA.
 
wataangamia vipi iwapo executive (mkuu wa kaya) anashindwa kuwachukulia hatua na badala yake anawa-enlist wata kama nape kufanya kazi hiyo? Kwanza huyo nape mbona hafukuzi wale waliohusika na ufisadi wa jengo la uvccm, suala ambalo alionekana kulivalia njuga na baadaye kunywea?
si inakumbukwa makamba alivyomfanyia ubabe, asinywee mchezo!
 
Wadau;

He added: “I’m a staunch, loyal CCM member but what has been done inside the party is nothing but deception. Were the problems blighting Tanzanians within CCM’s ‘skin’ or its ‘poison’? he enquired.

[/COLOR]

Chanzo: The African on Saturday
I like the red coloured phrase. Hapo ndo ukweli unapobakia kuwa Chama cha Magamba kinatwanga maji kwenye kinu na kuwapiga changa la macho Watanzania. Tuacheni kulalalala kihasara hasara, tutaendelea kuliwa na papa wenye njaa isiyotosheka hata kwa kuiba mali zetu bado hawajashiba.
 
hakuna wazirudishe! nasisitiza wazirudishe kwani sio zao ni za wananchi wala sio kwa ajili yao, walaaniwe kwa kuwafanya wananchi waishi kama ombaomba. kama walijua wao ni wezi kwanini walikimbilia kutawala? kwani watu wasafi hawapo wa kutuongoza? kila siku ombaomba, na watoto wa mitaani wanaongezeka hii yote ni kwaajili yao, laana yote hii na iwe juu yao, mama zetu vijijini wanataabika kwaajili yao hao wezi watawala! laana ya shida zote iwashukie wote wanao husika. na mwisho ccm wasifanye nchi kama genge lao la utapeli, nashangaa wanazidi kulaghai wananchi 'kujivua gamba' ! nasikitika sana, wanachotakiwa kufanya ni kurudisha hela zote walizo waibia wananchi, kisha watende haki kwani wao ni waajiriwa wa wananchi na si vinginevyo. wana ccm wote wenye kujali mema ya nchi nasisitiza waambie wenzao tumekosa uvumilivu wa kuibiwa rasilimali za nchi yetu. tunataka katiba itakayo leta ushindani katika uongozi na sio hiyo ya hao wezi ccm ya kupeana utawala kama njugu. nachukua nafasi hii kuwaomba wanavyuo wenzangu tusi waache ndugu zetu waendelee kupumbazwa na hawa wahuni ccm walio kosa maadili wala heshima kwa taifa hili na watu wake. napenda kusisitiza kwamba ccm na wezi wote wengine walioibia wananchi warudishe vyote kabla ya kulaghai wananchi 'kujivua gamba' sita waruhusu waendelee kuwapumbaza ndugu zangu na watanzania wenzangu sitaruhusu
 
Maikini CCM na JMK
wanafukuza inzi ile hali wamesahau kuondoa mavi aka kinyesi ambacho inzi ndio waliokifuata........JKM,this chairman is a big shell,if CCM will still hold him they have nothing they can do inorder to be safe.
hapo umenena mkuu, wanazuia harufu mbaya kwa kukwepa mwelekeo wa upepo tu bila kuondoa kitu kilicho na uvundo kinacholeta harufu yenyewe.
 
Back
Top Bottom