Kigogo CCM ambaka bintiye

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,884
IMG_3933.JPG
 
Kwa aliyesoma hilo gazeti tunaomba atuambie ni kigogo gani huyo, sio wote tuna access na hilo gazeti.
 
Umepewa source ya habari na rudufu ya gazeti husika, kilichobaki ni wewe kuifanyia kazi, usisubiri kila kitu uwekewe mezani.
 
Mganga wake kamuambia hivyo ili aweze kushinda chaguzi za ndani ya chama mwakani
 
Umepewa source ya habari na rudufu ya gazeti husika, kilichobaki ni wewe kuifanyia kazi, usisubiri kila kitu uwekewe mezani.

Sidhani kama hili habari inapatikana online kupitia website ya gazeti husika, pia kumbuka wengine hatuko bongo, hatuna kulipata hilo gazeti haupo. Think ! Think ! Great thinker Think!!!
 
Hawa jamaa hulala hata na maiti ili wapate ukubwa sembuse kuwabaka watoto wao!! wengine wamewahi hata kuwabaka mama zao; huko ccm kuna mambo na ndio maana wanaowaua maalbino hawakamatwi na hata wakikamatwa huachiliwa shauri ya umagamba wao!!
 
Nataka nitoe mtazamo wangu juu ya Rai kama gazeti la biashara. Unapoishiwa content na kupoteza mvuto unaanza kuokoteza habari toka kila mahali. Mwishowe unakosa unajikuta umebadili mlengo, mtazamo na soko. Rai baada ya kupolomoka linaanza kugeukia soko la habari za ufuska na ngono kama yalivyo magazeti ya Shigongo.
 
Sidhani kama hili habari inapatikana online kupitia website ya gazeti husika, pia kumbuka wengine hatuko bongo, hatuna kulipata hilo gazeti haupo. Think ! Think ! Great thinker Think!!!

kachemka huyoo, sio kila page ya rai ipo kwenye mtandao

naona amekua na mawazo ya zakayo
 
Nataka nitoe mtazamo wangu juu ya Rai kama gazeti la biashara. Unapoishiwa content na kupoteza mvuto unaanza kuokoteza habari toka kila mahali. Mwishowe unakosa unajikuta umebadili mlengo, mtazamo na soko. Rai baada ya kupolomoka linaanza kugeukia soko la habari za ufuska na ngono kama yalivyo magazeti ya Shigongo.
shigongo amelinunua mkuu
 
Hivi hili ni lile rai ninalolifahamu lililoanzishwa na Jenerali Ulimwengu au limeanzishwa jingine?
 
Back
Top Bottom