Kigezo cha miss Tanzania ni lazima ajue english,mbona miss world wa sasa ajui english kabisa?

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
je tanzania tunakosea kutumia lugha ya english kama kigezo cha kuchagua miss tanzania? sababu warembo wengi english aipandi kichwan kwa wale waliosoma shule za sikinde,je tuache kutumia kigezo cha english kuchagua miss tz
 
Wa TZ cc ni malimbukeni sana,English ni lugha tu hata kenya machokoraa(ombaomba wa mtaani) wanaongea kiinglish vizuri kigezo cha miss wetu ajue kingeleza ili atimize masharti ni kumnyima haki yake ya msingi,je kama anajua kiswahili na kifaransa je? Uncle Lundenga ajipange sana.
 
Back
Top Bottom