kigamboni

uncle

JF-Expert Member
Dec 10, 2007
322
184
ndugu wahusika.
ninaomba tuangalie hii adhaa wanayopata wananchi wa wanaotumia vivuko kigamboni.
kigamboni ni kati ya maeneo ya yanayokua kwa kasi sana katika nyanja za kibiashara,kilimo,utalii na makazi ya watu.
kila kukicha watu wanaongeza eneo hili.
lakini cha kustaajabisha na kusikitisha miundombinu ya kukuwezesha kufika eneo hili ni mibovu .(HALI YA MAPOTONI NI MBAYA KULIKO MAELEZO).
Tunaweza kusema zaidi ni kudra za mwenyezi Mungu ndizo zinazo saidia.
Sijui ni lini suluhisho la moja kwa moja litapatikana ?Maana vingozi wetu wameweka mbele siasa(ahadi) zaidi kuliko maslahi ya wananchi.
Nasema hivyo kwasababu kama ni kuongea kuhusu suala la kivuko nafikiri limeanza kuzunguzwa kuanzia awamu ya kwanza mpk hii tuliyonayo.
wahusika(kama ni wakurugenzi,mawaziri ,wasaidizi wa JK nkkk) najua mnasoma sana JF.najua ujumbe umefika.
Tuepuka hii adhaa na kuondoa mabalaa yanayoweza tokea
 
Back
Top Bottom