Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,323
- 18,791
jamani kigamboni kwa heriiii,wakazi wakigamboni hawajui hatima ya maisha yao baada ya stoporder kuisha watu wanajenga wangine hawajui cha kufanya,mama prof Tiba sijui haoni madudu haya au anataka nini?,
baadhi ya madudu haya hapo
1.mjini wa kigamboni unauzwa na mswada unapeleka bungeni wa mamlaka ya mji wa kigamboni wadau hawajui
2.HII NI KWA MZEE MAGOFULI
- watadu wako hapa fresh walituletea mashine za kukatisha tiketi wakafunga mpaka leo hazifanyi kazi ila kila wakitaka kula wanaleta mafundi watengeneze,FUATILIA
- Lile boti la kuokolea lililofunguliwa na raisi la mabilioni lipo tu pale ngombo ya bahari halifanyi kazi,Wandishi pigeni picha mumulize raisi watu anakumbuka ni mwaka jana tu alizindua boti hilo
- wadau hii najua wengi hawatapenda,jamaani ukikata tiketi pale wakupe kipande cha abiria kwani usipochukua wanarudisha wanauza tena,ndiyo maana ata wanamaliza vyuo vikuu wanagombania pale,Mhe mwakembe upo?
punguza mbio ndugu.....