Kigamboni New City Master Plan

Mfukunyuzi,
Nimefanikiwa kuiona video documentary hii, hakika si mchezo. lakini yawezekana ni hadithi ya kufikirika tu.
 
Ha ha ha, Hii clip ni Nzuri kweli kweli kwa kuitazama, Hivi katika nchi ambamo kuna Shule zisizo na Madawati, watoto wanakaa chini na wengine kusomea chini ya Miti, katika nchi ambayo Serikali yake inakiri kwamba haiwezekani kusomesha watoto mpaka form six bure, katika nchi ambayo wamama wanajifungulia chini, katika nchi ambayo Rais wake ameahidi bajaji kwa wajawazito. Halafu kuna Vijitu na Degree zao kabisa wanaamini katika Hizi Njozi, Tumeshindwa madogo tutaweza Makubwa?
 
ndugu. jamanii my sisters and brother by 2030 kigamboni wont be the kigamboni tunayoijuwaleo.There is a project which has started this year 2011 ending 2030.I downloaded some pdf files showing me the maps and whats gioing to be build..

but the questionn is is it for the Tanzanian? because itatulazimu to pay for the Bills which will include things like water,gas etc.. a Tanzanian living / day less than 1$ atamudu?
 
niliona video ya mater plan yake,inatisha,watajenga mapaka university,watajenga bandari,watajenga daraja la kuunganisha kigamboni na Dsm city center,kumbe walikuwa wanasubili uchaguzi uishe ndio waanze kazi yao,LOL!!
 
ndugu. jamanii my sisters and brother by 2030 kigamboni wont be the kigamboni tunayoijuwaleo.There is a project which has started this year 2011 ending 2030.I downloaded some pdf files showing me the maps and whats gioing to be build..

but the questionn is is it for the Tanzanian? because itatulazimu to pay for the Bills which will include things like water,gas etc.. a Tanzanian living / day less than 1$ atamudu?


Can you please share with us those pdf files ?
 
''Africa the continent of possibilities''
"In Africa in Eastern Tanzania a new city is being born promising a bright future"

Katika mpango wa uendelwzaji mji mpya wa kisasa kigamboni walionunua viwanja kisota(20,000), Vijibweni (20,000) na kibada (20,000)hawatahusika na bomoabomoa. Mpango huu unatakiwa kuanza kutekelezwa 2011. Angalia mpango huo kwa njia ya video katika blog ya Property & Real estate Tanzania.

 
Last edited by a moderator:
Yaa ule mpango kama kweli utafanikiwa duuu sidhani lkn kwa ufisadi na urasimu hapana ile ngoma kubwa sana kama hong kong kabisaa
 
Kitomai,
Nani hasa msimamizi wa ujenzi wa mji huo wa kisasa? Daraja alishapatika mjenzi? Tutarajie mwezi wa ngapi project hiyo kuanza?
 
KITOMAI najua una viwanja unataka kuuza huko....tutajie skWea mita ngapi na ni shilingi ngapi......! na vipo bloku ipi , ikiwezekana marefu na mapana yake
WEKA BEII
 
KUNA TETESI KWAMBA ENEO LA KIGAMBONI WAMEPEWA WAMAREKANI.
LENGO KUPAFANYA PAWE BONGE LA JIJI. Naomba msaada wenu wanaJF.
 
Hivi na sisi tunaweza kwenda Marekani tukawaomba watumegee bonge la ardhi kule Mississippi?
 
KUNA TETESI KWAMBA ENEO LA KIGAMBONI WAMEPEWA WAMAREKANI.
LENGO KUPAFANYA PAWE BONGE LA JIJI. Naomba msaada wenu wanaJF.

Ili iwasaidie vipi? Nauliza hivyo kwa kuwa Federal government na states nyingi huku zina-struggle vibaya sana financially. Sasa watafaidika vipi kwa kupewa hiyo Kigamboni???, hapa ndio sielewi unless may be iwe ni naval base.
 
Ili iwasaidie vipi? Nauliza hivyo kwa kuwa states nyingi huku zina-struggle vibaya sana financially. Sasa watafaidika vipi na kupewa hiyo Kigamboni, hapa ndio sielewi unless may be iwe ni naval base.

nakubaliana na wewe,mmarekani hafanyi kitu bila kuwa na maslahi MAKUBWA,yawezekana kabisa naval base au makazi ya majasusi yatakuwa huko Kigamboni......wizi mtupu kama ni kweli......:hungry:
 
The Kigamboni new city master plan is designed to build a core for accommodating new land demand such as residential, commercial, trade and business, industrial, educational and recreational facilities in Dar Es Salaam.<!--?xml:namespace prefix = o ns = "urn:schemas-microsoft-com:eek:ffice:eek:ffice" /--><o:p></o:p>

The first purpose is to create well-organized connection between old urban centers and the new city.<o:p></o:p>

The second purpose is to build future-oriented new model city with ICT base and excellent living environment.<o:p></o:p>
The third purpose is to develop urban economic competitiveness through supplying new opportunities in advanced industry fields.<o:p></o:p>

Through the Kigamboni new city project, Tanzania can reinforce the leading position in the African Continent.
<o:p></o:p>
<o:p></o:p>

Nina Video ya hii master plan toka wizara ya Ardhi si mchezo, pateni picha za hiyo video kwa ufupi. Invinsible nifahamishe namna ya kuupload video ni kubwa sana kama 600MB nishee na Watanzania.


Funny indeed.Unavyozungumzia mradi huo kwa madaha na mbwembwe utafikiri ni kitu cha manufaa kwa mwananchi wa kawaida.That is just another Mafia stile project aimed at robbing poor Kigamboni residents their land and later investing the massive resources the elite have stolen from our country.To me it's nothing but a continuation of thuggery.
 
Last edited by a moderator:
Kama wanajenga caz of uranium why wasiingeenda kujenga Namtumbo ama Songea...??? Hii nchi bana watawala nadhani wameshachoka amani...! Lets see what da days will bring...:sick:
 
Kudadeki..wabongo tunapenda vitu vya kufikirika.....tunashindwa hata kutunza hivi tulivyonavyo...tutaweza hayo maghorofa?

Sisi wabongo wengi wetu tuna asili ya uchafu..utakuta mtu kajenga ghorofa kwenye slums......Yaani hiyo Kigamboni..its too good to be in bongo..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom