Kigamboni New City Master Plan

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
The Kigamboni new city master plan is designed to build a core for accommodating new land demand such as residential, commercial, trade and business, industrial, educational and recreational facilities in Dar Es Salaam.

The first purpose is to create well-organized connection between old urban centers and the new city.

The second purpose is to build future-oriented new model city with ICT base and excellent living environment.

The third purpose is to develop urban economic competitiveness through supplying new opportunities in advanced industry fields.

Through the Kigamboni new city project, Tanzania can reinforce the leading position in the African Continent.

Nina Video ya hii master plan toka wizara ya Ardhi si mchezo, pateni picha za hiyo video kwa ufupi.
Picture1.png
Picture3.png
Picture4.png
Picture5.png
Picture6.jpg
Picture7.png
Picture8.png
Picture9.png
Picture10.png
 
Last edited by a moderator:
The Kigamboni new city master plan is designed to build a core for accommodating new land demand such as residential, commercial, trade and business, industrial, educational and recreational facilities in Dar Es Salaam.<o:p></o:p>

The first purpose is to create well-organized connection between old urban centers and the new city.<o:p></o:p>

The second purpose is to build future-oriented new model city with ICT base and excellent living environment.

The third purpose is to develop urban economic competitiveness through supplying new opportunities in advanced industry fields.<o:p></o:p>

Through the Kigamboni new city project, Tanzania can reinforce the leading position in the African Continent.<o:p></o:p>
<o:p></o:p>
Nina Video ya hii master plan toka wizara ya Ardhi si mchezo nitengeneza presentation angalau mpate picha. Invinsible nifahamishe namna ya kuupload vido ni kubwa sana kama 600MB nishee na Watanzania.<o:p></o:p>

kaka frankly speaking "huu mradi unanitia kichefuchefu mwanzo mwisho"..kwa sababu hayo maeneo niliyoya highlight in red hayajajibu swali la msingi before any project inapoanza kufikiriwa... WHO ARE THE BENEFICIARIES OF THE PROJECT???...hapa ndipo napochoka hata sijui hii inji inaenda wapi...pia unaposema tanzania iwe leading in africa...inalead nini..au inam-lead nani...na kwanini leading?...for your litle information...hii ni new city for americans n white guys NOT FOR YOU TANZANIANS HASA SIE WAHAPHAPA.... AM SORRY TO SPEAK MY HEART
 
pole kaka naona unaongea kwa uchungu sana

lakini hakuna jinsi, BATCH yao ya kwanza ya CIA wa KITANZANIA ndio mwaka huu inatoka UDOM, na vijana wanapikwa kuikana nchi yao yenyewe na ndio watakuwa wakaaazi wa huo mji mpya, nia na malengo makuu ni kukama URANIUM ya Tanzania iwe mikononi mwao, wanataka kuitengeneza hii nchi kiasi kwamba hata raisi awe nani wao wanakuwa na link nzuri mno ya information

hii nchi imeshauzwa
 
Mama weeeeee!!! I am so scared! "Nji" imeshauzwa???!!!!!
 
Mama weeeeee!!! Am so scared! "Nji" imeshauzwa???!!!!!

May be ikiuzwa, then it will make the difference we are looking for. Kwani as of now ambapo haijauzwa things zipo hivyo lets try kuuzwa then we experience that way!
 
May be ikiuzwa, then it will make the difference we are looking for. Kwani as of now ambapo haijauzwa things zipo hivyo lets try kuuzwa then we experience that way!

Siyo kuuzwa tu hebu msome huyu #4

"............lakini hakuna jinsi, BATCH yao ya kwanza ya CIA wa KITANZANIA ndio mwaka huu inatoka UDOM, na vijana wanapikwa kuikana nchi yao yenyewe na ndio watakuwa wakaaazi wa huo mji mpya, nia na malengo makuu ni kukama URANIUM ya Tanzania iwe mikononi mwao, wanataka kuitengeneza hii nchi kiasi kwamba hata raisi awe nani wao wanakuwa na link nzuri mno ya information"
:doh::doh::doh:
 
Ebu ngoja iuzwe then tuone inakuwaje!
Ila mziki wa CIA na Marekani mbona ni zaidi ya ukoloni bse raisi hakohoi kila kitu wanadictate wao
 
pole kaka naona unaongea kwa uchungu sana

lakini hakuna jinsi, BATCH yao ya kwanza ya CIA wa KITANZANIA ndio mwaka huu inatoka UDOM, na vijana wanapikwa kuikana nchi yao yenyewe na ndio watakuwa wakaaazi wa huo mji mpya, nia na malengo makuu ni kukama URANIUM ya Tanzania iwe mikononi mwao, wanataka kuitengeneza hii nchi kiasi kwamba hata raisi awe nani wao wanakuwa na link nzuri mno ya information

hii nchi imeshauzwa

Aisee hili nilikuwa sina habari nalo.
Kuumbe!!
 
hahahaha wakuu nimecheka kwa uchungu sana.
enewei. ninayo video clip ya hii plan. naangalia uwezekano wa kuipunguza na kuiweka vipande vipande kama Mods wataridhia.(NI KUBWA MNO)

Nchi imeuzwa na risiti zipo IKULU ... hii kali kweli kweli
 
Nimeupload picha za kigamboni city master plan kwenye post ya kwanza;

attachment.php
attachment.php
h

uwiiiii - Kiamba changu heka 2 pale kibada na chenyewe hope kishaingizwa humo -- ssasa ijui ka ntaja lipwa hata laki moja - hii sirikari haiaminiki. nikienda mahakamani yale yale - sasa nikimbilie wapi kupata haki zangu wandugu?
 
akili fupi za kusema nchi imeuzwa huwa sipendi hata kusikiliza. hata mlimani city mlipiga sana kelele kuwa tumeuza sehemu ya udsm, lakini sasaivi mmejaa pale kusukuma tolori zimejaa vitu mnavyonunua....watu kama ninyi ni wa kuwapuuzia tu, msema mlieee hadi mchoke, lakini kitu ambacho selikali inaona kuwa kinafaa, bora kifanyike tu.

kitu kingine, kuna watu wana alergy na wamarekani au westerners....wakisikia mradi unataka kufadhiliwa na watu wa magaribi, WANASEMA NCHI INAUZWA...kwasababu ya uranium, watu wanasema nchi inauzwa kwasababu watu wa magharibi wanaitaka...mlitaka waje waarabu?HAO WAARABU wakija na sisi tutasema nchi imeuzwa....na huwa inauzwa kama livyofanya MWINYI kwenye LOLIONDO, kule ndo kuuzwa..lakini kwa kigamboni, ni kitu kizuri na kitafanyika hata mkipiga kelele. hii nchi ya kwetu sote, na si kwasababu baadhi yenu hamuwapendi wa magaribi ndo sote tuko hivyo, na si kwamba kwasababu baadhi yenu mnawapenda waarabu na kupenda miradi yote tz ingekuwa chini ya waarabu kwamba sote tuko hivyo...mimi kwa upande wangu, mradi uwe wa magaribi au kiarabu naupokea tu..pamoja na kwamba kama ningesema nichague, ningesema waarabu waende zao huko na huwa siwaamini..hauwapendi wamagaribi na mimi sipendi kushirikiana na waarabu...na sote tunaishi kwenye nchi moja, sasa cha maana ni kuacha tu wote waje, waarabu, wachine, wahindi wazungu wote waje...na tuache kupiga makelele kuwa nchi imeuzwa.....mlitaka hiyo uranium anunue nani?waarabu iran?..hii inakera kusikiliza kwakweli...
 
Hatubishani nani mnunuzi hata akiwa Mwarabu, Mhindi, Mzungu au Msomali - Tunachotaka kujua ni "WHO ARE THE BENEFICIARIES OF THE PROJECT???..."
Kama si wananchi wa kawaida basi huu mradi ni wa kifisadi - uuzaji wa ardhi ya nchi yetu bila ridhaa ya wananchi ni kosa kikatiba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom