Kigamboni kuna mbunge?anajua kigamboni imeuzwa?

kimboka one

JF-Expert Member
Jan 23, 2010
734
85
wadau nashindwa kumwelea Dr faustine ndungulile kama vile hayupo? Hasemi kakaa tu anaendelea na ujenzi kwa mama ndungulile pale wkt wananchi wengine wanakatazwa kujenga.huu mradi wa mji mpya walisema mwezi wa saba mpk sasa kiamia,pale kimbiji amani gomvu watu wameporwa aridhi mbunge kimia pamoja na kupewa taarifa na kudai hajui wakati yeye ana mashamba humo ndani au wameshamlipa nini?
 
Back
Top Bottom