Kigamboni inahujumiwa

KIWAVI

JF-Expert Member
Jan 12, 2010
1,817
699
we can confirm kwamba kigamboni inahujumiwa na wakubwa fulani ambao wameanza kwa kuleta mgao wa masaa kumi na tano siku

tumepewa 'go slow' kwenye ferry

tunaambiwa sie ni waislamu na hatuna cha maana zaidi ya mihadhara tu!!

mbunge wetu anajenga sie tunazuiwa, he is christian

i can confirm TANESCO station hapa kigamboni kasema hatuna haja ya umeme sie ni wa kulala na kuamka wa umeme wako bandarirni

THANKS CCM
 
bora umelalamika mkuu kiwavi sijui huu uzi utasavaivu ngoja tuone..imo!
 
I,ve nothing to offer to the stupid people! You can go to hell!
 
Bado sijamuelewa huyu maana,nimejaribu kusoma lakini haeleweki.
 
Ni afadhari umeonyesha upumbavu wako ili tukusaidie kufikiri....
Mimi mwenyewe ni mkaazi wa Kigamboni, ni kweli Kigamboni kuna tatizo la umeme, lakini halitokani na madai uliyoaainisha hapo, wala suala la ujenzi halihusiani na dini ya mbunge wenu, tafuta vizuri sababu badala ya kukwepa kushughulisha ubongo wako. Bila shaka ulikuwa unaongea na fundi radio au wale wa wiring mtaani, basi wewe unadhani ni Tanesco tu wanafanya kazi za umeme.
Hivi hauoni kuwa hujitendei haki wewe binafsi kwa kutoutumia ubongo wako ipaswavyo? Huoni kuwa ni matusi makubwa kuonyesha kuwa tofauti yako na maiti au jiwe ni kitendo cha kuongea na kujongea??
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom