Kigamboni bridge

CONSTRUCTION UPDATES
SEPTEMBER 2012

WAZIRI WA UJENZI DKT. JOHN MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA KIGAMBONI NA BARABARA YA KILWA, ASEMA WATAKAOSABABISHA UJENZI CHINI YA KIWANGO KUFUKUZWA KAZI

MICHUZI: WAZIRI WA UJENZI DKT. JOHN MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA KIGAMBONI NA BARABARA YA KILWA, ASEMA WATAKAOSABABISHA UJENZI CHINI YA KIWANGO KUFUKUZWA KAZI

Picha_no_1.jpg

^^ mmeona mkuu hapo juu anachoma aone lami kiwango gani :lol: vigezo na mashart kuzingatiwa :lol: :cheers:

Picha_no_7.jpg

Picha_no_8.jpg

Kwani toka sept 2012 hakuna ujenzi ulioendelea?? Mbona update ya zamani sana...
 
JULY 2013

TANZANIA LIVE BLOG: UJENZI WA MSINGI NGUZO ZA DARAJA LA KIGAMBONI UNAKARIBIA KUMALIZIKA .

Nguzo kubwa ikiwa katikati ya kina kirefu cha maji.

Mhandisi,Karim Mattaka,wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) akifuatilia kwa karibu Ujenzi wa moja ya nguzo ya 8 iliyozungukwa na maji inayoonekana sehemu ya chini baada ya maji kuwekwa pembeni.

Mafundi wa Kichina na wetu (kulia) wakiangalia nguzo ya 8.

Mabomba ambayo yatazamishwa chini ya ardhi kwenye maji yakisubiri kuzamishwa

Nondo zilizosukwa pamoja zimeandaliwa kujengewa nguzo.

Baadhi ya Wananchi wanaoishi maeneo ya Vijibweni na kwengineko wakianza kunufaika kwa kutumia kwa magari na waendao kwa miguu kuvuka katika Daraja linalotumika kupitishia vifaa vya ujenzi wa Daraja

Gari la Polisi likipitishwa katika Daraja la muda kuelekea Vijibweni.

Kitachowaokoa urais 2015 CCM ni mpasuko CDM na lami zilizojengwa awamu ya 4!ufisadi na kulindana!utaangamiza sana!wangeweza safisha uozo wote tungefika mbali zaidi!
 
Vipi Mkuu Lambardi, ulitaka ccm watufisadi tu bila kufanya maendeleo yoyote ili washindwe uchaguzi? Angalau haya tunayoona ni hatua kidogo mbele, wakija hao wanaojiita wazalende wayapeleke hadi kunakotarajiwa.
 
Shida ya Watanzania n kuwa tunafikiria zaidi mshiko kuliko maendeleo. Mara nyingi tunatumia nguvu kubwa kwenye upuuzi kuliko material.

Hebu jiulize: kujenga Daraja la Kigamboni ni 200billion na kujenga barabara zote za Dar mpaka uchochironi ni 100bn. Kwako wewe ipi ni kipaumbele?

Sina hakika na takwimu zako, ila kujenga daraja la kilomita 1 unaweza kujenga barabara ya kilomita 50. Ujenzi wa daraja ni ghali na sina hakika kama hizo barabara za Dar za bil 100 hazina madaraja!
 
Shida ya Watanzania n kuwa tunafikiria zaidi mshiko kuliko maendeleo. Mara nyingi tunatumia nguvu kubwa kwenye upuuzi kuliko material.

Hebu jiulize: kujenga Daraja la Kigamboni ni 200billion na kujenga barabara zote za Dar mpaka uchochironi ni 100bn. Kwako wewe ipi ni kipaumbele?

Ngoja tuanze na makubwa, hivyo vibarabara twaweza gawa kwa local contractors kibao vikaisha kwa mwezi mmoja
 
Shida ya Watanzania n kuwa tunafikiria zaidi mshiko kuliko maendeleo. Mara nyingi tunatumia nguvu kubwa kwenye upuuzi kuliko material.

Hebu jiulize: kujenga Daraja la Kigamboni ni 200billion na kujenga barabara zote za Dar mpaka uchochironi ni 100bn. Kwako wewe ipi ni kipaumbele?

kweli eeh....hebu naomba nipe mchanganuo,kuna km ngapi zinahitaji kujengwa kiwango cha lami ndani ya dar[kama ulivyosema hadi vichochoroni]...halafu niambie ni tsh ngapi inagharimu kujenga km moja kwa kiwango cha lami.
 
NGUZO HIIYOOO INAANZA KUTOKEA :)

Sijui tatizo ni vifaa kwa wakandarasi wetu au...! Maana miradi kama hiyo duniani naona ikitekelezwa kwa teknolojia ya hali ya juu zaidi, hizo nguzo husimikwa kwa kutumia meli maalum nk, wao imewabidi kujenga daraja la muda.., hebu mwenye nafasi aangalie hii ni huko Ugiriki daraja la Rion-Antirion

http://www.youtube.com/watch?v=O2JsXvimgv0
 
wakuu mimi swali langu la kizushi kwan nini daraja lilipendekezwa klijengewe kurasini htauoni kama kule ni mbali kidogo na city centre kabisa kwa nini lisingejengewa pale ambapo basi yanayoenda kasi yatakapoanzia ili kuwarahisihia watumiaji wake wakitoka tu kwenye daraja wanachukua ndinga wanaenda kwnye misele yao au mahome kwao.
 
Najaribu kukujibu kizushi.. Ina maana wa D'salaam wote wanaishi Morogoro road. Kila jambo la maendeleo liwalenge waoo tuu!.

Any way.. nikiondoa uzushi, mwendo WA kutoka kurasini mpaka posta mpya WA gari Ni dk 2 bila foleni. Vilevile daraja kusogea pembeni kidogo itasaidia kupunguza msongamano katikati ya jiji mkuu!.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
thanks mkuu,it make sense.
 
wakuu mimi swali langu la kizushi kwan nini daraja lilipendekezwa klijengewe kurasini htauoni kama kule ni mbali kidogo na city centre kabisa kwa nini lisingejengewa pale ambapo basi yanayoenda kasi yatakapoanzia ili kuwarahisihia watumiaji wake wakitoka tu kwenye daraja wanachukua ndinga wanaenda kwnye misele yao au mahome kwao.

daraja hilo linaanzia na kushukia mbali.....ina maana kama wangataka lijengwe[lipite] pale ferry lingeishia kule gymkhana au aga khan hospital huko.
 
ok nimekupata mkuu ila pia si wangewea kupunguza urefu kwa maana ya sehemu linapoanzia kushukia??
 
Back
Top Bottom