Cost benefit analysis ilifanyika na faida ni kubwa kwa wananchi kuliko hasara
je na pia baiskeli,guta,bajaj,na mikokoten+bodaboda mtatoza pesa?
Cost benefit analysis ilifanyika na faida ni kubwa kwa wananchi kuliko hasara
Kwenye hili naomba tuaminianehahahahahah,kweli mtoto wa Dr Dau unajua ku'shawish,ila historia ina0nesha kuwa huwa tungeuka kuwa loser
je na pia baiskeli,guta,bajaj,na mikokoten+bodaboda mtatoza pesa?
kaka naomba utuletee ushahidi ku support hii hoja yako tafadhalijamani hili daraja liko kwenye mpango mzima wa mji mpya wa kigamboni tatizo hapa natumia siwezi kuweka link ya documentary kutoka you tube inaitwa 'the blue diamond of kigamboni' ambapo marekani ndo iko nyuma na mpango huu hapa hamna cha NSSF kutoa hela yake bali atakuwa refunded na serikali haiwezi kusema ukweli
Tunajitahidi sana kuwasikiliza wanachema wetu
Je unaweza kuwafananisha NSSF na PPF au PSPF au mifuko mingine ya pensheni?
Kila kitu kitazingatiwa na nafasi yake muda utakapofikalina sehemu ya wenda kwa miguu? je nao watalipia?
Kasoro NSSFmifuko yote ni ya kinyonyaji,wanachama wanalia kila kukicha
Serikali inatoa 40%Serikali imeamua kujenga darasa,coz wanajua kuwa Kigambon utakua mji wa kibepari,so watanufaika nao,na c vingnevyo
Kasoro NSSF
Serikali inatoa 40%
NSSF inatoa 60%
watakao faidia ni wananchi wa Tanzania
Tunajitahidi sana kuwasikiliza wanachema wetu
Je unaweza kuwafananisha NSSF na PPF au PSPF au mifuko mingine ya pensheni?
Mbona hamleti maswali ?
lina sehemu ya watembea kwa miguu? je nao watalipia?
Kwa nini moradi mingi ya NSSF inafanywa na hii kampuni ya CRJE?
Je ma sub contractor watakuwa wazalendo au kila kitu mchina?
Je ma sub contractor wazalendo ni wepi?
Site mnaingia lini rasmi?