Kati ya hizi kampuni sita mojawapo ndio itapewa zabuni ya kujenga daraja la Kigamboni sasa sijui itakuwa ni kampuni gani..
1. Long Jian Road and Bridge Limited - China
2. Schuan Road and Bridge Limited - China
3. China Communication and Construction Limited - China
4. China Railway Construction Engineer Group - China
5. China Major Bridge Engineer Limited - China
6. Chong Qung - China
Hamna cha bure ndugu nakupa mfano nilipokuwa China kutoka hangzhou kuna barabara mbili ... Ya chini ambayo ni free utatumia masaa ma nne kufika shanghai na kuna ya juu hangzhou - shanghai express way masaa mawili ... Hiyo inalipiwa itakuja kuwa bure mpaka bajeti ya pesa iliyotumika irudi...
Interesting. . .
Ngoja sasa tuone kama kazi itafanyika au la.
Ila nahisi ujenzi huu anaweza akapewa mkandarasi zaidi ya mmoja kutokana na ukubwa wa mradi wenyewe ambao wanasema una thamani ya Bilioni 100..Inawezekana ni hiyo hapo mkuu. Thanks
Wamisri pia ni wazuri sana kwenye Architect..Ni kweli jamaa mzuri na ndio aliyengineer mkapa bridge although haikua cable stay
Tunasubiria utekelezaji baada ya kuongelewa kwa muda wa miaka kumiInteresting. . .
Ngoja sasa tuone kama kazi itafanyika au la.
Yap kuna taarifa nimeziona zinasema waliopewa tenda ya kujenga ni CRJE wakishirikiana na MAJOR BRIDGE ENGINEERING zote za ChinaGharama ya mradi wa ujenzi 214 bill, wajenzi CRJE Tanzania na ndugu zao walioko China. (CRJE ni kampuni ya kchina iliyosajiliwa Tanzania). Mshauri toka Egypt kama alivyosemwa hapo juu yeye gharama ni USD 4 Mil.
Kati ya hizi kampuni sita mojawapo ndio itapewa zabuni ya kujenga daraja la Kigamboni sasa sijui itakuwa ni kampuni gani..
1. Long Jian Road and Bridge Limited - China
2. Schuan Road and Bridge Limited - China
3. China Communication and Construction Limited - China
4. China Railway Construction Engineer Group - China
5. China Major Bridge Engineer Limited - China
6. Chong Qung - China
Tunasubiria utekelezaji baada ya kuongelewa kwa muda wa miaka kumi