Kigamboni Bridge construction contract to be signed on Monday

Status
Not open for further replies.

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
The Contract has been signed.


Follow this discussion - https://www.jamiiforums.com/business-and-economic-forum/210498-kigamboni-bridge-contract-signed.html


Tanzania | Published On: Sat, Jan 7th, 2012


An-architectural-impression-of-the-Kigamboni-bridge.jpg


An architectural impression of the Kigamboni bridge

Contract for the construction of the long awaited Kigamboni Bridge is scheduled to be signed on Monday between the government, NSSF and the contractor who won the tender.


The construction cost is estimated at 100bn/- with the government bearing 40 percent while the remaining 60 percent will be borne by the National Social Security Fund (NSSF). Construction is expected to take four years


In an interview with the Guardian yesterday, Ministry of Works Public Relations Officer, Martin Ntemo said the process of picking a competent contractor had delayed implementation of the project.


He explained that there were six companies which had shown interest to enter into a joint venture in constructing the bridge.


According to him, the government had to ensure that a qualified contractor was chosen so that the project is implemented at required standards.


He refuted public claims that the delay was due to fear of losing revenues currently generated from the ferry services.


"The contractor has been ordered to ensure it is completed by 2015", he said.


Ntemo said the 600-meter bridge will serve as the main means of crossing the creek for residents of Kigamboni, Temeke district to reduce traffic at the ferry.


He said already NSSF has set aside a total of 100bn/- for the construction of the bridge.


Meanwhile NSSF Director of Planning Investment and Projects Yacoub Kidula confirmed the selection of the contractor, saying everything was ready for implementation.


"Too many companies applied for the job. We had to carefully scrutinise them to get the best," said Kidula adding that more details will be given on Monday during the contract signing ceremony.


Last year, the Parliamentary Committee on Community Development called on the government to speed up construction of the Kigamboni Bridge, saying the issue has taken too long.


During his visit at Kurasini-Vijibweni area in March last year, Works Minister John Magufuli directed NSSF to speed up construction of the bridge to facilitate easy crossing for Kigamboni dwellers.


Source The Guardian

 
Brilliant...

Nadhani jamaa wa huko hawatamlaumu tena Dr Magufuli kwani suala la kupiga mbizi halitakuwepo tena na Marine Vehicles zitakosa wateja. Ila naona kama ni jembamba sana hilo daraja from top view, lisije kuwa ni mtambo wa foleni kwenda na kurudi kigamboni
 
Kikiwete anatakiwa akazane kweli kweli ili hili daraja likamilike 2015 kama ilivyorepotiwa. Itakuwa kumbukumbu nzuri kwake japo lakini (kwa msisitizo) kama anataka likamilike kwa wakati na kwa viwango vinavyokubalika basi ahakikishe Magufuli anabaki kwenye hii wizara inayohusika na ujenzi wa daraja hili. Vinginevyo halitajengeka kwa wakati na kama litajengeka litakuwa na viwango vya chini sana.

Kwa upande mwingine ningeshauri Magufuli awaalike wale wabunge wa DAR wanaotaka umaarufu wakati wa ku-sign huu mkataba! Wawepo ili washughudie mambo ya maana na sio porojo zao za shs 100!
 
Mwenzake amejenga badaraja mawili Mkapa Bridge na Umoja Bridge yete kila moja lina urefu wa zaidi ya 700m .Na taratibu zote za ujenzi wa daraja la kigamboni zilishakamilika kabla Mkapa hajaondoka madarakani.Alivyoingia Jk badala ya kutekeleza akaanza kula bata kwa kufanya ziara za nje ya nchi kila kukicha.Ngoja tuone utekelezaji ...
 
Hiyo sio picha halisi pia halitapita maeneo ya ferry litakua huko kurasini!!
 
The construction cost is estimated at 100bn/- with the government bearing 40 percent while the remaining 60 percent will be borne by the National Social Security Fund (NSSF). Construction is expected to take four years
Hii si kweli; total cost ya mradi huu ni approx 214 million USD. Kampuni (Joint venture) zilizoshinda tenda ni CHINA CONSTRUCTION ENG (CRJE) na CHINA MAJOR BRIDGE. Mimi nipo mojawapo ya kampuni zilizotajwa.
 
Kile kipande cha mzunguko kipo sana baharini bandarini kitapunguza idadi ya meli kutia nanga.
 
7291a6aa-7150-1bcb.jpg


Interesting that it looks like the Rainbow Bridge in Tokyo

* The Tokyo one is for automatic trains, motor vehicles, bicycles and people
* With double decked lanes (mmh)
 
Crje! Ulaji mkubwa mwigine wa dr dau na ccm, huwa wanamtumia kukusanya pesa kutoka miradi mbalimbali, humu kuna pesa kwa ajili ya uchaguzi 2015
 
sasa hilo duara hapo kwenye darafja ni la nini?au ni mbwembwe na kuongeza gharama

Nadhani ni jambo lililolazimika kiufundi.

Daraja lenyewe lipo juu (ili kuruhusu vyombo kupita chini yake) kwa hiyo barabara inatakiwa iongezeke muinuko kidogo kidogo hadi ifikie usawa huo wa daraja ikifika hapo lakini inaonyesha hakuna eneo la kutosha la kuweza kufanya muinuko mdogo mdogo kwenye barabara na badala yake ndio hiyo round about inatumika.

*Ukiangalia picha utaona kuwa barabara ya kabla ya round about ipo karibu sawa na ground level na muinuko wote unafanyika kwenye hilo duara
 
Wakuu ebu tuambieni daraja linajengwa kuasini sehemu gani? Kurasini kubwa na kwa upande wa kigamboni linaenda kuishia wapi? Ni vijibweni au kibada? Kuna mdau amesema yupo kwenye hiyo kampuni,ebu tusaidia maana utakuwa na michoro yote,nataka nifungue fremu za maduka along side daraja linapopita
 
sorry wadau kwa wale wataalamu wa engineering hivi hapo meli zitakatishaje kwenda bandarini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom