Kifusi cha bure Tabata

Rolandi

JF-Expert Member
Mar 8, 2006
916
486
Nina kifusi cha nyumba iliyobomolewa nakitoa bure, yaani Free. No strings attached. We njoo na gari na wapakiaji chukua tani yako. Kinajaza lori kubwa nne au tano.

Kiko tabata madonna kiwanja cha pili kabla ya hospitali ya madonna kama unatokea mjini. Pamezungushiwa uzio wa mabati. Onana na kijana anaitwa Mustafa. Ni PM kama hujaelewa nilivyoelekeza

Nilishawahi kutoa bure bajaji kama screpa watu wakabeza. Aliyekua serious akaja akachukua na akatoa mrejesho humu. Soma https://www.jamiiforums.com/threads/natoa-skrepa-za-bure.948506/#post-14296912

Karibuni
 
Dah nahisi nitachelewa nahitaji nifukie mashimo ya barabara huku segerea
 
Nina kifusi cha nyumba iliyobomolewa nakitoa bure, yaani Free. No strings attached. We njoo na gari na wapakiaji chukua tani yako. Kinajaza lori kubwa nne au tano.

Kiko tabata madonna kiwanja cha pili kabla ya hospitali ya madonna kama unatokea mjini. Pamezungushiwa uzio wa mabati. Onana na kijana anaitwa Mustafa. Ni PM kama hujaelewa nilivyoelekeza

Nilishawahi kutoa bure bajaji kama screpa watu wakabeza. Aliyekua serious akaja akachukua na akatoa mrejesho humu. Soma https://www.jamiiforums.com/threads/natoa-skrepa-za-bure.948506/#post-14296912

Karibuni

Pia mm nahitaji, chote, next week kama kipo NITAKICHUKUA CHOTE... nataka kumwaga malori 6 ya 7 tons hapo Tabata Bima... so please next week tar. 26 hv nakichukua chote kama utakuwa nacho bado...
 
Back
Top Bottom