Kifungu cha 27 Sheria ya TAKUKURU ya mwaka 2007

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
15,551
19,419
Sehemu yakifungu hicho cha sheria, kinaainisha kuwa mtu akiwa na mali ambazo hazilingani na kipato chake alichokipata akiwa madarakani au baada ya kuondoka, ni kosa kisheria.

"Mtu ambaye atafanya kosa akiwa au akishikilia madaraka ya umma, kwa kuishi kwa kipato ambacho hakilingani na kipato cha sasa au kile alichopata…Au anayemiliki mali ambazo hazilingani na kipato chake kisheria, atakuwa akitenda kosa." Kifungu hicho kinaeleza.

Je sheria hii iko sahihi? na je kweli inafanya kazi Tanzania, vipi kwa mtu aliyeingia madarakani akiwa na mali nyingi zaidi ya kipato chake cha utumishi kama ilivyokuwa Rostam, lakini akapata mali zaidi?

Kama kweli sheria hii inafanya kazi Tanzania, je ni afisa gani wa serikali ambaye atapona? Angalia maafisa wa polisi, mahakimu, maafisa wa kodi, watumishi wa serikali za mitaa, watumishi wa serikali kuu, Mkapa, Ridhwani, na .........................................
 
Back
Top Bottom