Kifungu 11(3) cha katiba ni uongo kwa sasa

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
2,696
740
11(3) Serikali itafanya jitihada kuhakikisha kwamba watu wote wanapata fursa sawa na za kutosha kuwawezesha kupata elimu na mafunzo ya ufundi katika ngazi zote za shule na vyuo vinginevyo vya mafunzo.


Nafikiri wakati wa Mwalimu Nyerere hii ilikuwa sawa. Naomba kifungu hiki kifutwe hata kabla ya kupata katiba mpya.:clock::lever:
 
Kwa vile magugu ni mengi katikati ya ngano, tuache hadi wakati wa mavuno, kwani ukianza kung'oa magugu sasa hivi unaweza kung'oa na ngano. Wakati wa mavuno umekaribia (2011 -2014 Mchakato wa katiba mpya) ndipo utakuwa wakati mwafaka wa kukata magugu na ngano halafu zitachujwa wakati wa kupepeta/kuchambua.
 
Back
Top Bottom