Kifo noma jamani!

Hmaster

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
346
86
Krup hadi ndani police! Police wa zamu wamepigwa butwaa kumuona kijana mmoja kaingia police post kwa ghafla na kwa kasi ya ajabu huku akihema. Kabla hawajaanza kumuhoji kulikoni wanaliona kundi la vijana kama saba hivi nje wakipaza sauti kwa maaskari hao wamtoe yule kijana aliyeingia ndani ghafla kwa vile ni mgonjwa wa akili na kwamba amewatoroka wakati wakimpeleka hospitali. Wakati wale askari wakijiandaa kumtoa yule kijana akawaambia wale askari, "hawa jamaa ni waongo na ukweli ni kwamba nimempora mmoja wao simu tena hii hapa hivyo mkiniachia tu wanakwenda kuniua". Unajua ni nn kilifuata, ntarudi nakwenda break
 
kilichofuata askari alimwambia arudishe simu ya watu....na asiibe tena..tukachukua simu yetu tukaondoka..hivi wewe ulivyobaki ulikuwa unasubiri nini??...
 
Mie iliniuma sana coz ndo nilikuwa nimeshika lile nondo, na ningemfyeka nalo ubongoni..
 
Mi nilikuwa nawachia wenzangu zamu nikaondoka skujua kilichoendelea. Kumbe...!
 
Kilichofuatia jamaa Wa simu aliambiwa adhibitishe Kama simu yake na atoe kitu Kodogo arudishiwe simu au la wafunguliwe shitaka la kujichukulia sheria mkononi na kutishia kuua.
 
Kilichofuata police walimtoa nje wakiamini ni chizi kweli 7bu wezi hawakubaligi kirahisi kiivyo, jamaa walimvuta pembeni na baada ya muda police waliitwa kuchukua maiti
 
Kilichofuata police walimtoa nje wakiamini ni chizi kweli 7bu wezi hawakubaligi kirahisi kiivyo, jamaa walimvuta pembeni na baada ya muda police waliitwa kuchukua maiti

mbona we kila mahali upo? af leo huja 2lia 2liza akili kwanza ndo uchangie,
 
Umeme ulikatika, sikuona kilichotokea, ila nilisikia kamata, chukua hiyo, kabuum, kroooo, uwiii, yalaaa, maweee! Puuuu!!
Mimi huyooo kwa mama chama kupata muhogo wa kuchoma na supu ya miguu ya mdudu.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom