grndossy JF-Expert Member Apr 20, 2011 311 80 Oct 25, 2012 #3 Mangii said: Kweli jamani kifo si mchezo angalia Click to expand... Hapa tunaona kwa imani au macho yangu yana shida?
Mangii said: Kweli jamani kifo si mchezo angalia Click to expand... Hapa tunaona kwa imani au macho yangu yana shida?
Mkuu rombo JF-Expert Member Oct 18, 2012 1,556 422 Oct 25, 2012 #4 bangi mbaya sana sasa hapa 2one nini
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Aug 17, 2011 37,436 25,577 Oct 25, 2012 #7 Mangii said: Kweli jamani kifo si mchezo angalia Click to expand... Unywaji wa chang'aa na mataputapu asubuhi ni hatari kwa afya..
Mangii said: Kweli jamani kifo si mchezo angalia Click to expand... Unywaji wa chang'aa na mataputapu asubuhi ni hatari kwa afya..
Columbus JF-Expert Member Nov 5, 2010 2,002 648 Oct 25, 2012 #8 weka hiyo picha basi mbona watuzingua?situmii mchina.
grafani11 JF-Expert Member May 24, 2011 15,442 5,807 Oct 25, 2012 #9 Jamvi limevamiwa na wanywa viroba asubuhi asubuhi bila kunywa hata chai.
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,140 13,215 Oct 25, 2012 #10 anamaanisha ukishakufa huwezi ona chochote grndossy said: Hapa tunaona kwa imani au macho yangu yana shida? Click to expand...
anamaanisha ukishakufa huwezi ona chochote grndossy said: Hapa tunaona kwa imani au macho yangu yana shida? Click to expand...
Nussayr JF-Expert Member Oct 5, 2012 241 233 Oct 25, 2012 #14 Aisee c cha mchina hiki, amepiga Orginal kabisa cha Zimbabwe! Ngoja nivae Miwani.
Jiwe Linaloishi JF-Expert Member May 24, 2008 3,736 2,137 Oct 25, 2012 #16 hahahahha mbona mi maoma au myie mna dhambi...!!
Uliza_Bei JF-Expert Member Feb 17, 2011 3,216 988 Oct 25, 2012 #17 Kweli kifo noma....jamaa ameanza kuandika akasikia kufa halafu kidole kikagonga submit....kama hajaamka semeni msifanye utani kumbe mwenzetu hatunaye....Mangii amka tafadhali utupatie picha hiyo
Kweli kifo noma....jamaa ameanza kuandika akasikia kufa halafu kidole kikagonga submit....kama hajaamka semeni msifanye utani kumbe mwenzetu hatunaye....Mangii amka tafadhali utupatie picha hiyo
H hacena JF-Expert Member Oct 8, 2010 617 203 Oct 25, 2012 #20 grafani11 said: Jamvi limevamiwa na wanywa viroba asubuhi asubuhi bila kunywa hata chai. Click to expand... usipende kusema chai sema kifungua kinywa.
grafani11 said: Jamvi limevamiwa na wanywa viroba asubuhi asubuhi bila kunywa hata chai. Click to expand... usipende kusema chai sema kifungua kinywa.