Kifo hakipangwi na Mungu

True Mungu haui bali hutwaa.... Tena hutwaa mtu aliyeishi miaka mingi aliye mzee ambaye Alikuwa mcha Mungu
 
wewe unamjaribu Mungu wako, bora umwombe msamaha tu. soma ulivyo andika hapo utaona umemjaribu na kumkejeri Mungu.

Mungu amekupa akili, nguvu na fikra za kufanya kazi upate hela! unataka million 100 chumbani kwako...wapi na wapi mkuu?
 
Mie nikijibu hilo swali tutaanza kubishana na lengo langu siyo hilo,maadamu kwamba wewe uliweza kuhoji hili suala la mungu pindi ulipokuwa basi ni wazi hata hayo mambo yenyewe kufanya watu waamini kuwepo kwa mungu ulikutana nayo na ukaona kuwa hayana uhusiano na kuwepo kwa mungu.
Kwangu mimi niliamini kutokana na imani potofu za kupokea.

Imani kama vike ni kazima binadamu na viumbe wote wawe wameumbwa na mungu, kitu ambacho si kweli na hakina ushahidi, sembuse uthibitisho.
 
Mtoa mada na mwona kama hizi radio za dar ikiongizwa na clous fm
 
Hivi we huwezi kutoa hoja zako mwenyewe bila ku C&P youtube?

Toa hoja zenye mashiko,unadai kuwa Mungu yupo

Sawa,Thibitisha kama yupo
Kwa nini unataka nitoe hoja?
Mimi nakupatia makabrasha,ujisomee,ujitathmini.
Mimi sina shida ya wewe uamini kuwa mungu yupo au hayupo.Hiyo ni kazi yako.
Wewe unasema mungu hayupo?
Firauni alijiita yeye mungu. Unaweza kwenda kumwona makumbusho. Kama huwezi gharama za safari,mtafute youtube.
 
kiranga! sasa tufanye hivi niruhusu nikuombee upate matatizo makubwa wewe na familia yako, Hapo utathibitisha mwenyewe kuwa Mungu yupo au hayupo. Je unaniruhusu?
Ndugu huna haja ya kumwombea apate matatizo. hayo aliyonayo yanamtosha. Hana utulivu wa moyo.Wewe unafikiri ni kwa nini anataka athibitishiwe uwepo wa Mungu?

Kwanza tayari Kiranga anaamini Mungu yupo, kinachompa tabu ni uelewa wake tu wa mungu ni nani au nini. anataka Mungu afanane na alivyoviumba. Anatafuta amuone Mungu.

Fatilia post ambazo mimi na yeye tumebadilishana mawili matatu utagundua anasema huwezi kumfananisha Binadamu na Mungu.

Kwa kutoa kauli hii tu tayari nafsi yake inamsuta.

Ukimuuliza je yeye ni binadamu? Atakuwa hana jibu.
Muulize anajua maana ya binadamu? Je anamjua Adam(u)?

Anajitoa ufahamu tu, anataka ligi jukwaani.

Huyu kwenye video ni baba/ babu yao Kiranga katika imani ya kukana uwepo wa Mungu.Kwisha habari yake.
 
Lengo siyo kupata hizo milioni 100

Lengo nikuthibitisha kama kweli Mungu unayemsema yupo na anajibu maombi.

Mungu atakutendea kitu ambacho kitakufanya upige magoti na ukubali Mungu yupo. ninakwenda kumuomba ili ajulikane kwako.
 
Back
Top Bottom