Kifo chenye utata cha Waziri Nicas Mahinda

Wakati anauawa Prof Mahinda alikuwa Mbunge wa Morogoro kaskazini hakuwa tena Waziri wala Naibu Waziri.
Mtoto wake akihojiwa na Media alisema walipovamiwa Baba yake alikuwa na Bastola yenye risasi moja na alipoifyatua hakuwa na nyingine wakamuua na baadae wakapekuwa hati zake mbalimbali lakin hawakuondoka na kitu chochote wala kumjeruhi mtu yeyote. Waziri Mkuu wa wakati huo Mh. Fredrick Sumaye aliahidi kutafuta wauaji lakin hawakufanikiwa kuwapata. Mwingine alieuawa kwa style hii ni Advocate Kapinga wa hukohuko mbezi beach lakin huyu waliiba Prado lake likakutwa Tabata garage baada ya Mkapa kuamuru Polisi kusaka wahusika kabla hajazikwa.
 
Alikuwa na kiwanja Mbezi ambacho hakijajengwa. Akaja Mzungu fulani akajenga kwenye kile kiwanja,Mahinda akamuacha Mzungu akajenga nyumba ghorofa hadi ikaisha.

Baada ya nyumba kumaliza kujengwa, Mahinda akamwambia mzungu nipe funguo za nyumba yako sababu umejenga kwangu.

Baada ya kufuatilia wakaona ni kweli, Mzungu akaomba waongee Mahinda kakataa.Mzungu kapanda ndege kurudi kwao.

Baada ya muda Mahinda akauawa. Je, hapo kuna uhusiano kati ya mzungu na kifo?

Mwenye details atusaidie.
Una uhakika na unachoongea au una hamu ya kuisaidia polisi kumtafuta huyo mzungu
 
Wadau kuna Naibu waziri wa viwanda Marehemu Nicas Mahindi aliuawa kwa kupigwa risasi je wahusika walikamatwa na je walihukumiwa? Na nini sababu ya kifo chake?
 
Wadau kuna Naibu waziri wa viwanda Marehemu Nicas Mahindi aliuawa kwa kupigwa risasi je wahusika walikamatwa na je walihukumiwa? Na nini sababu ya kifo chake?
Ilikuwa ni mwaka gani ili tuone kama hawa watu wasiojulikana walikuwa tayari nchini mwetu
 
Back
Top Bottom