Kifo chenye utata cha Waziri Nicas Mahinda

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,496
3,461
Alikuwa na kiwanja Mbezi ambacho hakijajengwa. Akaja Mzungu fulani akajenga kwenye kile kiwanja,Mahinda akamuacha Mzungu akajenga nyumba ghorofa hadi ikaisha.

Baada ya nyumba kumaliza kujengwa, Mahinda akamwambia mzungu nipe funguo za nyumba yako sababu umejenga kwangu.

Baada ya kufuatilia wakaona ni kweli, Mzungu akaomba waongee Mahinda kakataa. Mzungu kapanda ndege kurudi kwao.

Mahinda alikuwa Mbunge na Naibu Waziri Viwanda na biashara kisha Naibu Waziri Maliasili na Utalii alipigwa risasi nyumbani kwake mwaka 1997.

Pia soma
- Nape Nnauye: Sheria ya vyama vya siasa nchini iangaliwe tena

Viongozi na Wanasiasa wengine waliowahi kupigwa riasasi
- Utata kifo cha hayati Abeid Karume

- DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

- Wakili mtetezi wa ICTR Prof. Jwani Mwaikusa auawa Tanzania

- Simulizi: Kisa na Mkasa wa Mauaji ya Jenerali Imran Kombe (Mkurugenzi Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa-TISS)

- TANZIA - John Mwankenja auawa kwa risasi

- Dkt. Wilbert Kleruu - Utata wa kifo chake, historia na maisha yake

- TANZIA - Waziri Salome Mbatia afariki dunia, maswali yaibuka!

- Maandamano ya CHADEMA: Aqulina Akwilini Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza NIT apigwa risasi na kufariki; Polisi wakiri kuhusika
 
alikuwa na kiwanja Mbezi ambacho hakijajengwa. akaja Mzungu fulani akajenga kwenye kile kiwanja. mahinda akamuacha Mzungu akajenga nyumba ghorofa hadi ikaisha. Ilivyo isha mahinda akamwambia mzungu nipe funguo za nyumba yako sababu umejenga kwangu. baada ya kufuatilia wakaona ni kweli. mzungu akaomba waongee mahinda kakataa. Mzungu kapanda ndege kurudi kwao. baada ya mda mahinda akauwawa. je hapo kuna uhusiano kati ya mzungu na kifo?. mwenye details atusaidie.

Marehemu Nicas Mahinda alikuwa ni Mbunge wa Morogoro Kaskazini na waziri wa Maliasili na Utalii na baadae waziri wa viwanda.

Ilisemwa wakti ule kwamba watu wasiopungua 30 waliruka ukuta wa nyumba yake na kufanya mashambulizi ya risasi na hatimae waziri huyo akauawa.

Watu wasiopungua 25 walikamatwa kuhusiana na tukio hilo.

Hivi yule kijana ambae polisi walisema ndie aliemuua Profesa Nicas Mahinda nakumbuka alitajwa kwa jina la Franco William aliishia wapi.
 
Waziri katika serkali ya sasa?
ilitokea lini?
 
Kwa kumbukubu zangu Nikas Mahinda alikuwa NAIBU waziri. Ni muda mrefu huenda kumbukumbu zinapiga chenga.
 
"A former Tanzanian cabinet minister was gunned down at his home outside Dar es Salaam over the weekend, police said yesterday. Nicas Mahinda, a member of parliament and former natural resources and tourism minister, was showered with bullets on Sunday by a gang of about 30 thugs who jumped over the fence of his compound. Twenty-five people have been arrested in connection with the incident."Great Lakes: IRIN Update No.78, 01/14/97

"...following the murder of Professor Nicas Mahinda MP, are given below. Some mystery surrounds the death of Professor Mahinda. The police have been quoted as saying that the MP was probably killed by a bullet from his own shotgun fired by his mason, Mr Franco William, while some 30 armed bandits were raiding the professor’s beach house in Dar es Salaam. Mr William was arrested."
Tanzanian Affairs » Issue 57

HAYA NIME GOOGLE
 
Ni kweli Prof. Nicas Guido Mahinda alikuwa Naibu Waziri, si Waziri. Ilikuwa katika serikali ya Mwinyi mwishoni, lakini alivuka na kuingia awamu ya Ben ya kwanza.

Mauaji yalitajwa na serikali kuwa ni "Homicide" iliyosababishwa na vitendo vya ulipizaji visasi.

Aliyeleta mada atueleze ni orofa lipi huko Mbezi.
 
Lakini kumbuka kuwa alikuwa na bifu na wahindi wa Morogoro kwa kuwa walidhani kuwa huwa anafunua chupi ya shamim Khan, kama hujui tuachie sie wazee wa muji kasoro bahari.

This is one of the conspirancy theories that I knew...lakini hiyo ya kudhulumu nyumba sijawahi kuisikia.
 
Ni kweli Prof. Nicas Guido Mahinda alikuwa Naibu Waziri, si Waziri. Ilikuwa katika serikali ya Mwinyi mwishoni, lakini alivuka na kuingia awamu ya Ben ya kwanza.

.
Asante kwa fafanuzi.
Ikibaki hewani hivi utashangaa ving'ora vya Vasco da Gama vinapita kwenda kulala matanga
 
Back
Top Bottom