Kifo cha Sumari: Kamanda Nasari piga jaramba

Jiwe la Ukara

Member
Jul 15, 2011
44
31
Tumwombee mbunge mteule wa Arumeru Mshariki Jeremiah Sumari apimzike kwa amani... Ukweli ni kwamba baada ya kifo chake lazima kiti kizibwe.. Kamnda JOSHUA SAMWELI NASARI anaweza kujipanga kutimiza ahadi yake. Agali matokeo ya NEC mwaka 2010.



ARUSHA
WILAYA YA MERU
ARUMERU MASHARIKI
Candidate
Political Party
Number of Votes
Percentage Votes
SUMARI JEREMIAH SOLOMON
CCM
34,661 62.23
JOSHUA SAMWEL NASARI
CHADEMA
19,123 34.33
JOHN YESAYA PALLANGYO
CUF
265 0.48
LINDA PENIELI BANA
JAHAZI ASILIA
176 0.32
FANUEL GABRIEL PALLANGYO
TLP
88 0.16
CHARLES MOSES MSUYA
UPDP
88 0.16
SPOILT VOTES 1,297 2.33
TOTALS 55,698 100
SOURCE: NEC
 
magamba wanawaza jinsi ya
kuchakachua, makinda nae
anawaza posho ya
mazishi!
 
nakwaminia mzee. lakini kura 15,538 ni nyingi sana ukumbuke mtu aweza shinda kwa kura 1 tu.
 
Haya sasa tusubiri mbwembwe,mauji,makele ya helkopta bila ya kusahau jeshi la green guard maana nalihofia kwelkwel (ni maonitu)
 
Tumwombee mbunge mteule wa Arumeru Mshariki Jeremiah Sumari apimzike kwa amani... Ukweli ni kwamba baada ya kifo chake lazima kiti kizibwe.. Kamnda JOSHUA SAMWELI NASARI anaweza kujipanga kutimiza ahadi yake. Agali matokeo ya NEC mwaka 2010.



ARUSHA
WILAYA YA MERU
ARUMERU MASHARIKI
Candidate
Political Party
Number of Votes
Percentage Votes
SUMARI JEREMIAH SOLOMON
CCM
34,661 62.23
JOSHUA SAMWEL NASARI
CHADEMA
19,123 34.33
JOHN YESAYA PALLANGYO
CUF
265 0.48
LINDA PENIELI BANA
JAHAZI ASILIA
176 0.32
FANUEL GABRIEL PALLANGYO
TLP
88 0.16
CHARLES MOSES MSUYA
UPDP
88 0.16
SPOILT VOTES1,297 2.33
TOTALS 55,698 100
SOURCE: NEC

RIP Sumari tutakukosa sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom