kifo cha shekhe, kazi ya Mungu

Jumakidogo

R I P
Jul 16, 2009
1,851
417
p { margin-bottom: 0.08in; } Wengi wanasema maneno mabaya baada ya kifo cha shekhe Yahaya, ikumbukwe kuwa pamoja na maisha yake katika utabiri lakini alikuwa ni kiumbe wa Mungu ambaye ilikuwa ni lazima afe siku zake zikifika. Sasa zimefika na amekufa kifo cha kawaida kwa amri ya Mungu. Hakuna kati yetu binadamu mwenye haki ya kumuhukumu mwenzake kwa jinsi yoyote. Hata manabii na mitume nao walikufaa pia. Walokole hujifanya wao wako juu zaidi ya binadamu wenzao lakini ipo siku nao wao watakufa kama wafavyo binadamu wote wengine. Wengi waametoa maoni ya kaashfa katika mtandao baada yaaaa kifo cha mnajimu huyo. Wamesahau kuwa anayehukumu ni Mungu pekee.
 
nadhani kafa kawaida nilitamani adhalilike ili iwe fundisho kwa wenye tabia kama yake
 
Alikuwa mnafikin kwa kuwapotosha na kuwatisha watz kuwa watakufa......alikuwa mnafiki kwa kuwatangazia watz kuwa yeye ni jini kwa hiyo anamlinda kikwete kwa majini............alimdharau hata mungu ndiyo maana alitakiwa kuokoka kwani alijifanya yeye mungu kuwa na uwezo wa kujua wakati wa watu kufa wakati huohuo hakuweza kujitabiria mwenyewe.............
Mtu mbaya kweli yule


ni upi ubaya wake?
 
Back
Top Bottom