pia ikumbukwe kuwa Afisa uhamiaji huyo ana kesi Mahakamani na mke wake ambaye anauhusiano wa karibu sana na Barrow; na Afisa uhamiaji aliwahi kusema kuna jambo limejificha katika kuvamiwa kwake.nijuzi tu polisi wa hapo mwanza walimpiga risasi tano afisa uhamiaji wakidhania kwamba alikuwa jambazi. Je si kwamba hao hao polisi ndio wamempiga risasi kamanda barrow wakizania kuwa ni jambazi. Manake inasemekana kamanda alikuwa kavaa kiraia na hakuwa na mlinzi/walinzi wake.
gKuna pia mtu aliuliza je Kuna uhusiano wowote na tukio la Askari waliotaka kumuua Afisa uhamiaji? Ikumbukwe kuwa huyo Afisa uhamiaji alisema kuwa askari aliyetaka kumuua anatembea na mke wake. Je kuna uwezekano wa uhusiano na mambo hiyo? Kuna kinachojaribiwa kufichwa na aliyetaka kumuua Afisa uhamiaji?
Wanamtandao,
Nimesoma thread ya mauaji ya RPC wa Mwanza, nikaamua kucopy maswali yote ya members kama yalivyo na kuyaleta hapa kama thread.
Naamini maswali haya ya wanajamvi yatasaidia kupata hadidu za rejea za watakaochunguza tukio hilo.
Ieleweke kuwa Memberz wa hapa ndani pia ni Polisi jamii.
(Naomba Mod usiunganishe na thread kuu)
1. Kwanini RPC asimwagize dereva kumpeleka dadake?
2. Kwanini asiende na walinzi wake?
3. Kama alikuwa na walinzi, Je walijeruhiwa au kufa? Walinzi walizidiwa?
4. Ukomo wa kazi wa walinzi wake ni saa ngapi?
5. Je kwenye gari walikuwa wawili tu?
6. Dada mtu ameumizwa?
7. Jina la huyo dadake ni nani?
8. Intelijensia haikunusa mauaji kabla?
9. Kwanini auwawe?
10. Kwanini isidhaniwe ni vinyongo ndani ya Jeshi la Polisi?
11. Polisi wamejuaje wauaji ni majambazi? Nani ana uhakika kauwawa na majambazi?
12. Walikuwa wanagombea demu?
13. Sijui ni wale waliompiga Hyness Kiwia!?
14. Kikao cha harusi hadi saa 8 usiku?
15. Majambazi gani wanaothubutu kumvamia RPC, na je walitaka kumwibia?
16. Wamempora nini baada ya mauaji?
17. Alikuwa na gari binafsi au ya serikali?
18. Alivaa uniform au kiraia?
19. Hakuna visasi nyuma?
20. Nani ana uhakika kauwawa na majambazi?
21. Kikao kilikuwa bar au nyumbani kwa mtu?
22. Kama aliwamulika majambazi, je ni yeye tu aliyepita hiyo njia?
23. Dada mtu alichukua hatua gani baada ya tukio?
24. Aliwaona wahusika?
25. Risasi alipigwa eneo gani la mwili?
Mod Tafadhali usiunganishe thread hii. Najua iko inayoripoti kifo, iko ya maswali.
Hii inahusu majibu na revelations zilizoingia kwenye dish langu.
===========
-Kamanda Barlow alikuwa na mwanamke ndani ya gari wakiwa peke yao wawili
-Mwanamke si dada yake wala ndugu yake
-Lilikuwa gari la binafsi na Kamanda aliendesha mwenyewe.
-Walitoka kwenye kikao -La Kairo Hotel na siyo Florida Hotel kama IGP alivyosema katika taarifa yake
-Walipofika Kitangiri, Kamanda aliamua kumpeleka yule mama ndani kwnye uchochoro badala ya kumwacha barabarani
-Si mara ya kwanza Kamanda kumpeleka mama yule eneo lile
-Walipoingia uchochoroni, waliwakuta the so called "polisi jamii wakiwa kwenye doria"
-Kamanda alishusha kioo na kuwauliza ni kina nani, na wao walimjibu kuwa ni polisi jamii.
-Aliwahoji kwa nini wamevaa mikanda ya polisi wakati waliishazuiwa
-Ulitokea ubishi kidogo
-Kamanda akainua redio call kuwaita vijana wake waje kuwakamata
-Polisi jamii wakamdaka kumnyanganya redio call hiyo na kumpiga risasi ya shingoni
-Wakamvuta na kumlaza chini ya uvungu wa gari
-Yule mama ndiye aliyemwita mlinzi wa RPC na kumwambia aje kumchukua "mzee" maana ameuawawa
-Mama anaisaidia polisi hata sasa.
MY Take:
-Jeshi la polisi linajaribu kusafisha hali ya hewa kwa kufanya damage control
-Mme wa mama yule amekuwa akilalamika kuwa analiwa mali yake
-Kuna uwezekano, polisi jamii walijua kamanda anakuja saa ile na yule mama, na walitekeleza maagizo waliyopewa
-Kuna other underlying issues ndani ya jeshi la polisi Mwanza
-Uchunguzi hautapata ushirikiano wa kutosha kwa sababu ya chuki kubwa kati ya jamii na jeshi hilo.
Baba v jibu lako limenivunja mbavu sina hamu. :yo::yo:Kazi ipo, atakuwa alipigwa na kitu kinachodhaniwa kuwa ni risasi iliyorushwa kutoka upande usiojulikana
Aliyempigia cmu IGP ni mtu muhimu, lakini alirespond vp, hiyo ni wazi ni kwa mshituko mkubwa.
Kuna thread ya Baija Bolobi ya confession kule, lakini nayo bado inazidi kuleta maswali. Haijajibu swali lolote kati ya hayo maswali ya post hii.Je baada ya kuuawa vitu gani vilichukuliwa ?
Kamanda hakuwa na silaha ndogo ?
Je nay ilichukuliwa ?
Ndio ana dereva lakini je, wakati huo alikuwa na dereva?kwani anaruhusiwa kuendesha mwenyewe? Si ana dereva au?
Wanamtandao,
Nimesoma thread ya mauaji ya RPC wa Mwanza, nikaamua kucopy maswali yote ya members kama yalivyo na kuyaleta hapa kama thread.
Naamini maswali haya ya wanajamvi yatasaidia kupata hadidu za rejea za watakaochunguza tukio hilo.
Ieleweke kuwa Memberz wa hapa ndani pia ni Polisi jamii.
(Naomba Mod usiunganishe na thread kuu)
1. Kwanini RPC asimwagize dereva kumpeleka dadake?
2. Kwanini asiende na walinzi wake?
3. Kama alikuwa na walinzi, Je walijeruhiwa au kufa? Walinzi walizidiwa?
4. Ukomo wa kazi wa walinzi wake ni saa ngapi?
5. Je kwenye gari walikuwa wawili tu?
6. Dada mtu ameumizwa?
7. Jina la huyo dadake ni nani?
8. Intelijensia haikunusa mauaji kabla?
9. Kwanini auwawe?
10. Kwanini isidhaniwe ni vinyongo ndani ya Jeshi la Polisi?
11. Polisi wamejuaje wauaji ni majambazi? Nani ana uhakika kauwawa na majambazi?
12. Walikuwa wanagombea demu?
13. Sijui ni wale waliompiga Hyness Kiwia!?
14. Kikao cha harusi hadi saa 8 usiku?
15. Majambazi gani wanaothubutu kumvamia RPC, na je walitaka kumwibia?
16. Wamempora nini baada ya mauaji?
17. Alikuwa na gari binafsi au ya serikali?
18. Alivaa uniform au kiraia?
19. Hakuna visasi nyuma?
20. Nani ana uhakika kauwawa na majambazi?
21. Kikao kilikuwa bar au nyumbani kwa mtu?
22. Kama aliwamulika majambazi, je ni yeye tu aliyepita hiyo njia?
23. Dada mtu alichukua hatua gani baada ya tukio?
24. Aliwaona wahusika?
25. Risasi alipigwa eneo gani la mwili?
Makene ulikaribia kwenye ukweli, changudoa alifanikiwa kuitia mkononi mwake bastola ya Libe, changu alidhamiria kudai chake kwa staili ya kujitoa aibu, alimuonyeshea pisto na maneno ya matisho ya kuitumia kama angekaidi kulipa kwa haraka.je inaweza kuwa kwamba aliyekuwa naye ni cd ambaye rpc alimtumia mara kadhaa bila kupewa ujira wake hivyo akaamua kumdanganya kwa kumuomba amsindikize na kisha kumdanganya kimapenzi kabla ya kuipokonya pistol ya rpc kisha kujaribu kumtisha ili alipe ujira, na kujikuta amefyatua risasi kimakosa bila kusudio la kumuua.
Au je inaweza kuwa walizozana kwa wivu wa mapenzi na rpc kuamua kujiua ili asiteseke kwa ajili ya kuwepo mshindani?
Mwenyewe na uchungu na vurugu za jana mweh waislam hawa wanataka serikali sikivu isitawale vizuri nchiKifo hakina taarifa ila wadau hebu tujiulize hizi coment zetu za kishabiki hasa kisiasa zinamjenga nani ama kumbomoa nani? leo unacoment kufirahishwa na kifo cha RPC Barlow then the next day unacoment kuhusu chama fulan kua ni bora kuliko kingine je? unataka ionekane ni upande flan wamehusika? usikurupuke bila kujua unamuumiza nani, kama unataka ku cment unavyotaka anzisha jamvi lako sio kuwaharibia wengine.
Kwa kumbukumbu zangu, askari mwenye rank ya juu kuuawa na Majambazi alikuwa kamanda wa Polisi wa Wilaya ya Longido, enzi za Mwinyi na Wasmali.kama RPC anaweza kuuawa na majambazi nani atakuwa salama katika mkoa wake? Huyo dada yake alikuwa anahudhuria kikao cha harusi ya nani( atutajie jina) na kilikuwa kinafanyika baa gani? na akina nani waliohudhuria kikao hicho?
Kazi ipo, atakuwa alipigwa na kitu kinachodhaniwa kuwa ni risasi iliyorushwa kutoka upande usiojulikana