Kifo cha retired major generali James Luhanga

Behind any great man, there is a great family willing to share him with his country and profession. To the Luhanga family thank you very much for the sacrifice, we are deeply saddened by the death of this great man. May his soul rest in peace. Please be comforted by the love and admiration that most of us had for your beloved.
 
Nimepokea habari hizi kwa mshtuko mkubwa sana..ni leo mchana nimepigiwa simu na kiongozi wa juu wa chama akinihabarisha kuhsuaina na msiba huu.

Nawaombea sana Familia ya mzee huyu..tutakukumbuka mzee wetu
 
RIP Major Gen Luhanga. Nakukumbuka kama mkuu wa mkoa wa mwanza wakati wa MV Bukoba tragedy. Inasemekana kuna mtu "alipiga ngumi" sehemu pekee iliyobaki ikielea kwenye meli hiyo, ikazama moja kwa moja.Kwangu mimi ilikuwa ni kwa nia nzuri tu ya kujaribu kunusuru maisha ya wale waliokuwa wanahangaika ndani ingawa consideration hazikuwa scientifically.
 
R.I.P Major General Luhanga. You did great for this country. May you enjoy eternal life. Amen.
 
Back
Top Bottom