Kifo cha Mwenyekiti USA River sababu ni Kusimamia haki na ubadhirifu wa mali, so tofauti zakisiasa

rimoy

Member
Jul 25, 2011
58
9
Kwa huu upelelezi unaofanywa na polisi utakuwaje? Polisi = CCM, sijui tutapata ukweli gani hapa
 
Yeah tamko la wana CDM Marekani ni zuri, lakini sijasikia tamko rasmi hapa nyumbani kulikoni?
 
Ndo hivyo tunasubiri tamko la cham, Mtazamo wangu CHADEMA tufanye maandamano makubwa mikoa yote kupinga uonevu na uuaji wa wanachama wetu, ni mtazamo wangu siyo wa chama
 
Hivi Jeshi la Polisi linafanya nini, Igunga watu walikufa ...kimya, Arumeru vivyo hivyo, Mwanza, Mbeya n.k, Police mnalinda nani au mnatuma na kutumwaaa????????????? ah!

Viongozi wa CHADEMA msaidie watanzania kwa kuwataka Police wawajibike! Kwann watu wanakufa kinyama! Polisi wanafanya kazi gani?
KWANINI WEZI WA NJIWA MBONA WANAKAMATWA NA KUSWEKA RUMANDE FASTA, inakuwaje binadamu kuuawa namna hii hata taarifa isitolewe au hata inapotakiwa basi ikawa ni kutoa ahadi ya kufuatilia huku polisi wakivuta siku mambo yapoe na kukaa kimya na ndiyo inakuwa mwisho wa mambo????

Kama Taifa kunahaja ya kuvalia njuga mauhi haya ya X kwa X huku polisi na vyombo vingine vya serikali vikikaa kimya!

Wanaharakati,,, tusaidie kupaza sauti twafa. Hii ndiyo amani watawala wanayo iimba? Kama ndivyo mbona ni baguzi? Tushindane kwa hoja.... Mauji haya yasipodhibitiwa yataanza na upande wa pili, tusifike huko!
 
Kama huna imani na Polisi unaweza kuweka wachunguzi huru. Huna sababu ya kulalamika. Na pia wengine tuesikia kuwa huyo jamaa akikopa halipi na ana madeni kibao, sijui ukweli ni upi.
 
unaweka wachunguzi huru kwa hela ipi, kwa mahakama ipi huru na waendesha mashitaka hao hao polisi?
 
Back
Top Bottom